Kwanini wanaume hawapendi kutumia condom?

Umemsababishia udhaifu huyo Mwamba🤣🤣🤣
Naye ni dhaifu yaani story tu? Nguvu zipo kweli?
Mbona hapo jamaa hana udhaifu wowote na tena huo ndio urijali, au ww ndo wale mpaka mwanamke yupo uchi bado unakuwa hujasimamisha? Au ndo mpaka demu aishikeshike ndio isimame 😂 pole mkuu.
Mwanaume anatakiwa kusimamisha ht kwa maneno tuu, Mm demu akikubali tukasuguane ht kwa sms hapo hapo lazima nisimamishe.
 
huo ndiyo uanaume
 
Mblock alaf njoo PM me npo tyr kupima babe
 
🤣🤣🤣
Bhana eeh huyu mwamba ana mfadhaiko sana aisee yaani maelezo tu tayari ushajenga picha ya kula mzigo hapana aisee labda kama mamber wa Chaputa
 
Condom inaondoa ladha ya tendo lenyewe na pia inafanya uchelewe sana kufika kileleni,mimi naona bora nijizuie kabisa kufanya kama nalazimika kuvaa condom.
 
Mkuu strong and Fearless, nyama ya hamu ukiitafuna bila kuiongeza viungo vingi inaleta rutuba mwilini
 
Huyo ajiamini mm hata she tukutane mara ngapi kama akai kwangu lazima nibebe bio-line , ndomu for protection lazima . Protect the world baby
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…