Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kwa nini unakua na bwana kibaka?Kwanini mwanaume hapendi kutumia condom? Anasingizia haiwezi kusimama, na ukimwambia tukapime anasema ntapima ntakavojiskia sio kunilazimisha mara Sijui tukipima tutakua free sana itakua risky
Yani inshort haeleweki.
So nimblock uyu mwanaume Au nimwambie tu we are better off as friends.