Kwanini wanaume hawapendi kutumia condom?

Strong and Fearless

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2017
Posts
815
Reaction score
1,983
Kwanini mwanaume hapendi kutumia condom? Anasingizia haiwezi kusimama, na ukimwambia tukapime anasema ntapima ntakavojiskia sio kunilazimisha mara Sijui tukipima tutakua free sana itakua risky
Yani inshort haeleweki.
So nimblock uyu mwanaume Au nimwambie tu we are better off as friends.
 
Si kweli ,wadada/ke ndiyo hawapendi ,ukiona mdada anakulazimisha kuvaa NDOMU basi ujue anaogopa mimba tu.
 
Kwanini mwanaume hapendi kutumia condom? Anasingizia haiwezi kusimama, na ukimwambia tukapime anasema ntapima ntakavojiskia sio kunilazimisha mara Sijui tukipima tutakua free sana itakua risky
Yani inshort haeleweki.
So nimblock uyu mwanaume Au nimwambie tu we are better off as friends.
nadhani ikiwa mmeshindwa kuafikiana na kukubaliana kwenye hilo, muhimu ni kuacha kufanya hiyo kitu na kuacha kabisa kua marafiki completely, ama ni nini kiliwakutanisha?🐒

Coz sisi ni binadamu, kesho wewe au yeye ukimuona anakiss lips na mtu mwingine Lazima utajiskia vibaya tu. So, ni afadhalli ijulikane wazi kwamba you are done with him na uendelee na mipango mingine ili hata ukimkuta na mtu mwingine usistuke 🐒
 
So nimblock uyu mwanaume Au nimwambie tu we are better off as friends.a
Achana naye njoo tukapime
Au nije nakipimi kabsa
 
Kwanini mwanaume hapendi kutumia condom? Anasingizia haiwezi kusimama, na ukimwambia tukapime anasema ntapima ntakavojiskia sio kunilazimisha mara Sijui tukipima tutakua free sana itakua risky
Yani inshort haeleweki.
So nimblock uyu mwanaume Au nimwambie tu we are better off as friends.
Asa mwenyewe ushajiita Fearless unataka tukushauri nini mrembo
 
Kwanini mwanaume hapendi kutumia condom? Anasingizia haiwezi kusimama, na ukimwambia tukapime anasema ntapima ntakavojiskia sio kunilazimisha mara Sijui tukipima tutakua free sana itakua risky
Yani inshort haeleweki.
So nimblock uyu mwanaume Au nimwambie tu we are better off as friends.

Nakushauri kupitia kisa hiki.

Mwezi wa kwanza mwaka Huu nikiwa kazin, alikuja Mwanadada mrefu mweupe amejaa vizur .

Ni aliyekua kajawa mawazo ,wasiwasi, ni MTU alojaribu kuficha anachopitia lkn Sura, macho na sauti yake vilidhihirisha wazi kua anapitia jambo gumu.

Ipo hivi Kwa miaka minne ya Ndoa yake, hakuwah kupata mimba,, mwaka Jana Mumewe akaanzisha Uhusiano wa kingono na Bishosti wa Mwanadada huyu, bila kujali ni mashosti wanaofanya kazi taasisi Moja .

Mwanadada huyu akaamua nayeye kuacha kugongana na Mumewe

Kule kazin , Shosti anampiga vijembee, Mara óhooo wee Mayai yako umelia chips, Mara ohoo umetoa mimba Sanaa, so acha wenye Mayai tumzalie bwanaaa.

Akirudi nyumban , Bwana anataka K, Bidada anagoma, Bwana anatoa kipigo .

Maisha yake yakawa hivo...

Lkn kwann alimnyima mzigo? Alimnyima Kwa sababu BWANA HAKUA TAYARI KUPIMA .

Na Mwanadada hakutaka kugongana naye kwakua Mumewe anatoka na Shosti yake na hajui hali ya Afya ya Shosti yake.

Kwa ufupi alikua anaomba ushauri nini afanye .. NAMIMI NILIMWAMBIA HATAKI KUPIMA, USIMPE MZIGO.

Basi mwezi wa Saba hapo majuzi, Mumewe akakubali kupima .

Mwanadada alikua anajiamin kwakua keshaoima Mara Kadhaa.

Asalaleeeee, kupimaaa , Bwana akasoma ana ngoma...Mwanadada Hana.

Bwana haamini, wakaenda hospital nyingine , kupima BWANA ANA NGOMA, Mwanadada Hana.

Wakarudi Home, wakaachana siku hiyo hiyo .... Kumbe yule Shosti wa Mwanadada, alikua na ngoma, hivo kamuambukiza Mume wa Mwanadada

Imepita miezi Kadhaa, Jana Mwanadada ananitafutaa Tena na kunipa tukio zima.

Sasa Mwanadada anafunguka kwangu zaidi, ananiambia Toka alipokataa kugongana na Mumewe mpaka wanaachana ni muda mrefu nayeye hajasex , na Kwa Sasa yuko free, anauliza nimsaidieje??.

UKIONA MWANAUME AU MWANAMKE HAPENDI KONDOM NA HAPOHAPO HATAKI KUPIMA, SIJUI OHOOO KONDOM ZINANICHUBUA, KONDOMU ZINANIWASHA , ZINAOUNGUZA UTAMU, KAMA UMEKULA HELA YAKE, MRUDISHIE, KATAAA, HUYO ANATAKA KUKUUNGANISHA KWENYE GRIDI.

STUKA.
 
Kwanini mwanaume hapendi kutumia condom? Anasingizia haiwezi kusimama, na ukimwambia tukapime anasema ntapima ntakavojiskia sio kunilazimisha mara Sijui tukipima tutakua free sana itakua risky
Yani inshort haeleweki.
So nimblock uyu mwanaume Au nimwambie tu we are better off as friends.
Huyo ana wasiwasi wa kupima kwa sababu hajiamini. Na hajiamini kwasababu ana kawaida ya kutembea ''pekupeku'' na inaonekana ni mtu wa wanawake. Kazi kwako!
 
Wanawake ni viumbe wa hisia.

Kama analazimisha mwanaume avae kondom,vaa. Huwa wanajali mwanzo mwanzo tu,ila wakishanogewa na penzi hata hawakumbuki stori za kondom tena.

Lakini Mimi binafsi nikitumia hiyo kitu naona kama nimevaa mfuko,saikolojia inabadika kabisa,najikuta sienjoy kabisa.
 
nadhani ikiwa mmeshindwa kuafikiana na kukubaliana kwenye hilo, muhimu ni kuacha kufanya hiyo kitu na kuacha kabisa kua marafiki completely, ama ni nini kiliwakutanisha?🐒

Coz sisi ni binadamu, kesho wewe au yeye ukimuona anakiss lips na mtu mwingine Lazima utajiskia vibaya tu. So, ni afadhalli ijulikane wazi kwamba you are done with him na uendelee na mipango mingine ili hata ukimkuta na mtu mwingine usistuke 🐒
Wanawake dmhuwa mnashangaza sana.

Mnakataa kondom,ila mnakubali kufanya open lip kissing.

Mnakataa kondom ila mnafanya deep throat.

Au mnataka kondom kwa ajili ya kuepusha mimba peke yake na siyo magonhwa ya zinaa na ukimwi?
 
Kwanini mwanaume hapendi kutumia condom? Anasingizia haiwezi kusimama, na ukimwambia tukapime anasema ntapima ntakavojiskia sio kunilazimisha mara Sijui tukipima tutakua free sana itakua risky
Yani inshort haeleweki.
So nimblock uyu mwanaume Au nimwambie tu we are better off as friends.
Mwenye maamuzi sahihi ni wewe, je unampenda na lengo la mahusiano ni lipi, halafu nasikia zina sababisha wowo iongezeke
 
Back
Top Bottom