This sounds harsh to me.Nimepata kuona, kusikia na kutendewa hiki kitu.
Nauliza hivi kwanini Wanaume hawapendi kuambiwa:
"Leo inabidi tuzungumze kuhusu jambo fulani" "Today We need to Talk"msisitizo.
Nimeona ukishamwambia hivyo kama mapenzi yanapungua au sijui ni kujiamini kunapungua sana, halafu atajizungusha mpaka usahau tena wakati mwingine unakuta kuna kosa hivi au kakwambia kitu ukaona ni vyema kuzungumza kwa kina lakini atayeyusha na kuipotezea kwa mbali.
Wenzangu mmewahi kuona au kukutana na kitu hii au ni mimi peke yangu???
Naombeni ushauri wenu.....
DA
Kwasababu mara nyingi hua inaishiria kuna jambo muhimu sana ambalo mtu ameshindwa kukwambia tu straight mpaka akupange.Yani inakua kama unaweka appointment kwamba tunahitaji kuongea kwahiyo tenga muda.Na kwa wengi maongezi hayo hua yanahusu kuachana..kupungua kwa mapenzi..kuelezana makosa and what not!Kama unataka kumwambia mtu kitu mwambie 'kuna kitu nataka kukwambia' hapo hataisha kukusumbua umwambie.
Ndo maana hutakiwi kufanya hivyo...kama umeamua kweli mpe bila kumtisha!Hapo ndipo nilipolenga yaani atakavyoipotezea utashangaa
unajuaa dada..mwanaume ukimwambia''to day we need to talk" lazimaa akuzungushe sababu kubwaa anajiuliza kuna kitu gani au nini nimefanya so anajipa mda wa kukifikiria...
hiyo niliistukia muda
wanaogopa kuwekwa kitimoto
sasa hivi strategy ni kusema tu bila kumu alert afu unajifanya haijakuuma hata chembe
ushampa shua kiaina ajipange mwenyewe
Nimepata kuona, kusikia na kutendewa hiki kitu.
Nauliza hivi kwanini Wanaume hawapendi kuambiwa:
"Leo inabidi tuzungumze kuhusu jambo fulani" "Today We need to Talk"msisitizo.
Nimeona ukishamwambia hivyo kama mapenzi yanapungua au sijui ni kujiamini kunapungua sana, halafu atajizungusha mpaka usahau tena wakati mwingine unakuta kuna kosa hivi au kakwambia kitu ukaona ni vyema kuzungumza kwa kina lakini atayeyusha na kuipotezea kwa mbali.
Wenzangu mmewahi kuona au kukutana na kitu hii au ni mimi peke yangu???
Naombeni ushauri wenu.....
DA
Wanajua wana makosa kibao sasa unapomwambia hivyo inabidi aanze
kufikiri/kujipanga leo nakwenda ulizwa lipi kati ya hayo
Unaweza ukamwambia baba ako eti wewe baba umejamba?