Dena hivi unapokuwa na shida flani au unatamani kitu flani ambacho mumeo anapaswa kukupatia/nunulia huwa unaombaje?
Njia hiyo hiyo tumia na ndo maana huwa tunaambiwa epuka kutoa dukuduku lako ukiwa na hasira.............. kwenye mwanga hafifu, mandhari tulivu tena ikiwezekana ukiwa mmetoka 'KUPUMZIKA' anza taratibu.... baby unajua nini...... unalimwaga taratibu kwa sauti nyororo uone kama hayajatokea alosema klorokwini hapo mamii.
Wengine wahuni hufanya hayo mtu akiwa 'KAZINI' anaishia tu kunguruma......sirudii tena, sirudii tena, sirudii tenaa'
Ah mamii naomba niondoke hapa sipo mwari