klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
hiyo post ya mjukuu mtiifu kama utaisoma na kuielewa basi unaweza, ukalikosoa dume lako na ukaliona linacheka cheka kama b w e g e tu na likawa kila siku linaomba mungu ulikosoe tena. nazani kina mama mnakosea approach. Wanaume tumeumbwa kwa testesteron bana nyie mmeumbwa kwa oestrogen na progesterone, approach lazima ziwe tofauti.MJ1 kwa hiyo wewe hata mumeo akikosea huongei naye kisa???? Acha mambo zako bana kha??!!! Kwanini nisimwambie yeye ni malaika hakosei?? "We need to talk"
Ankal MJ1 amemaliza kila kitu ila hawa mabinti inabidi warudie kusoma posti yake vizuri ikibidi waprint kabisa wakabandike kwenye mlango
Mamito nisome vizuri.........kuna sehemu nimesema siongei ?
hiyo post ya mjukuu mtiifu kama utaisoma na kuielewa basi unaweza, ukalikosoa dume lako na ukaliona linacheka cheka kama b w e g e tu na likawa kila siku linaomba mungu ulikosoe tena. nazani kina mama mnakosea approach. Wanaume tumeumbwa kwa testesteron bana nyie mmeumbwa kwa oestrogen na progesterone, approach lazima ziwe tofauti.
Ahaaaa ahaaa ahaaaa NO COMMENThiyo post ya mjukuu mtiifu kama utaisoma na kuielewa basi unaweza, ukalikosoa dume lako na ukaliona linacheka cheka kama b w e g e tu na likawa kila siku linaomba mungu ulikosoe tena. nazani kina mama mnakosea approach. Wanaume tumeumbwa kwa testesteron bana nyie mmeumbwa kwa oestrogen na progesterone, approach lazima ziwe tofauti.
ankal hapo sio mimi, ni Phd la mzumbe.Ahaaaa ahaaa ahaaaa NO COMMENT
Dena hivi unapokuwa na shida flani au unatamani kitu flani ambacho mumeo anapaswa kukupatia/nunulia huwa unaombaje?Nimesoma katikati ya misitari na kukuelewa kwamba unasema tusiwachoshe na we need to talk, ofisini nk wanaambiwa sasa what is the way forward??? tuwaambie we need to talk or not??? If not what to do...................
hiyo post ya mjukuu mtiifu kama utaisoma na kuielewa basi unaweza, ukalikosoa dume lako na ukaliona linacheka cheka kama b w e g e tu na likawa kila siku linaomba mungu ulikosoe tena. nazani kina mama mnakosea approach. Wanaume tumeumbwa kwa testesteron bana nyie mmeumbwa kwa oestrogen na progesterone, approach lazima ziwe tofauti.
Dena hivi unapokuwa na shida flani au unatamani kitu flani ambacho mumeo anapaswa kukupatia/nunulia huwa unaombaje?
Njia hiyo hiyo tumia na ndo maana huwa tunaambiwa epuka kutoa dukuduku lako ukiwa na hasira.............. kwenye mwanga hafifu, mandhari tulivu tena ikiwezekana ukiwa mmetoka 'KUPUMZIKA' anza taratibu.... baby unajua nini...... unalimwaga taratibu kwa sauti nyororo uone kama hayajatokea alosema klorokwini hapo mamii.
Wengine wahuni hufanya hayo mtu akiwa 'KAZINI' anaishia tu kunguruma......sirudii tena, sirudii tena, sirudii tenaa'
Ah mamii naomba niondoke hapa sipo mwari
ofkoz nop! lakini tofauti ya level haina athari kubwa kama tofauti ya aina . men and women can never be equals. hata mikutano ya beijing ikifanywa dodoma. nimejibu haraka haraka,nitalejea baadae kukujibu kwa uwazi zaidi, nawahi press conference hapa kulaani "ubakaji wa wanyama".Je wanawake na wanaume wote wana levels sawa za hizo homoni, respectively.
Ha ha ha ha wale wale kumbeeee...................nimegundua
MJ1 huwa hawasomi alama wanaleta hivyo hivyo ilivyo, hapo kwenye bluu umenikosha:yield::yield:Dena hivi unapokuwa na shida flani au unatamani kitu flani ambacho mumeo anapaswa kukupatia/nunulia huwa unaombaje?
Njia hiyo hiyo tumia na ndo maana huwa tunaambiwa epuka kutoa dukuduku lako ukiwa na hasira.............. kwenye mwanga hafifu, mandhari tulivu tena ikiwezekana ukiwa mmetoka 'KUPUMZIKA' anza taratibu.... baby unajua nini...... unalimwaga taratibu kwa sauti nyororo uone kama hayajatokea alosema klorokwini hapo mamii.
Wengine wahuni hufanya hayo mtu akiwa 'KAZINI' anaishia tu kunguruma......sirudii tena, sirudii tena, sirudii tenaa'
Ah mamii naomba niondoke hapa sipo mwari
Usikate tamaa ............kuwa mbunifu zaidi ikiwezekana jaribu hiyo ya on-job service ................Ninafanya zaidi ya hapo lakini.............................
MJ1 huwa hawasomi alama wanaleta hivyo hivyo ilivyo, hapo kwenye bluu umenikosha:yield::yield:
Usikate tamaa ............kuwa mbunifu zaidi ikiwezekana jaribu hiyo ya on-job service ................
(nyamayao akija hapa atanichapa viboko kwa kuwaremba hawa wakaka)
Sikatai wapo wengine ambao wameumbwa tofauti na hawa basi tatizo haliishii kwenye kusikiliza tu hizo 'we need to talk zetu'.