Kwanini Wanaume Hawapendi................................

Ha ha ha ha ha ha SAFI SANA MWANAjamii1 maneno kuntu kwa 100%, naona leo umeamua kutoa kitchen part free of charge.......
Ila sasa usitoe ( upande mmoja tu ) kitchen part tu na BG part pia kwa wanaume...lol.
 
Hahhahaaaaaa nnunu.................karibu tufurahishe jamvi. Nlitaka kuliona povu la Dena leo
 
Ha ha ha ha nilijua tu kama yangu siku ileeeeeeeeeeee
HAhahah unajua nini Dena kama ni wa kutokusikiza hatosikiza hata useme ukiwa unamchezea sindimba..........hatotaka kusikiza. Mimi nimesema tu kuwa ujaribu kuzizuia hacra kama una hacra sana usiliseme hadi zipungua but am telling you kuna wengine hata ukizipumzisha hacra zako kwa mwezi mzima siku ukianza tu kusema linalipuka. Hawa hivyo vyote tunavyohangaika ni kujaribu tu kuishi kwa amani but ukweli ni kuwa baadhi yao ni wagumu sana......................
 
NJE YA MADA ILA NAHISI DENA UTANIELEWA...
DENA UMEONA SOMA ULILOTOA LEO MWANAFUNZI WAKO NIMELIFANYIA PRACTICAL....lol
Nahisi utanipa marks 100/100 ,,,,lol....AU, kuna waalimu wengine hata ukipata zote hawezi kukupa eti 100, utaishia tu chini ya hapo.
ASANTE SANA SANA DENA.......KILA JEMA LIWE SEHEMU YA PUMZI YAKO ILI TU/NIENDELEE KUPATA KUJIFUNZA YALE NISIYOYAJUA.
 
nnunu huwa inabakizwa kidogo ya wino na muda wa mwalimu wa kusahishia
 
Ha ha ha ha nimekusoma sasa na tunaongea lugha moja .......................
 
Hivi kumbe ni kweli huwa hawapendi "today we need to talk", basi wakijua hivyo wajaribu kuwa na njia zilizonyooka!
Inaudhi sana pale ambapo unakuta unataka kumweleza jambo la maana ambalo halihusiani na makosa ila atakuzungusha kwa sababu ya kujihisi vibaya!!! Wanaume jamani...
 
Dena nadhani tatizo linaweza kuwa linasababishwa na timing yako ya kumwambia .Kama unasubiri mpaka mnaanza kuvua nguo ndio uanze mambo ya kunitaka tuzungumze ni dhahiri utaniudhi sana. Nakushauri kila unachotaka kumshirikisha mwanaume uwe makini na TIMING.
 
Nilijua tatizo lako liko wapi hahahah Dena umepinda wewe...........

Ha ha ha ha mbonanilishaona na nikauliza maswali makusudi kina TF na Kloro wakaja juu hawakujua nini kinaendelea...................(Nina hasira leo wewe acha tu yaani hii mibaba sijui ikoje yaani limeniudhi kisa eti nimeliambia we need to talk)
 
Ulisema unakunywa kinywaji gani vile dear mama africa..............................
 
Asante sana kwa ushauri wako
 
Nimesoma katikati ya misitari na kukuelewa kwamba unasema tusiwachoshe na we need to talk, ofisini nk wanaambiwa sasa what is the way forward??? tuwaambie we need to talk or not??? If not what to do...................

Dena mamy msome vizuri mwanajamii, anasema ile njia nzuri tunaitumia kwa ajili ya kuombea vitenge, pesa na magari tu. Ila inabidi hata kwenye masuala mengine tutumie hiyo hiyo mamito.
 
Dena mamy msome vizuri mwanajamii, anasema ile njia nzuri tunaitumia kwa ajili ya kuombea vitenge, pesa na magari tu. Ila inabidi hata kwenye masuala mengine tutumie hiyo hiyo mamito.

Soma katikati ya misitari na post namba 66 and 67
 
Ha ha ha ha mbonanilishaona na nikauliza maswali makusudi kina TF na Kloro wakaja juu hawakujua nini kinaendelea...................(Nina hasira leo wewe acha tu yaani hii mibaba sijui ikoje yaani limeniudhi kisa eti nimeliambia we need to talk)

Embu punguza hasira bana....''WE NEED TO TALK'' haimvutii mtu kuyatamani maongezi!!!
( Embu bembeleza huyo mbaba bwana.....mkumbatie alafu mweleze makosa yake kama atakana hata moja...au kama ni likizo ya kwenda nyumbani atakupa na muda wa nyongeza!!!! )
 
Twende PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…