Ulilikoroga mwenyewe shosty. Kisa kumhoji mwenzio kama askari anahoji mhalifu? Niamini, ukiendekeza utaachwa sasa hivi, utakuja kutuambia
Tuweke wazi kwamba tatizo ni kutojiamini na kikubwa wengi nadhani watakuwa na mabaya nje ya ndoa au mahusianounajuaa dada..mwanaume ukimwambia''to day we need to talk" lazimaa akuzungushe sababu kubwaa anajiuliza kuna kitu gani au nini nimefanya so anajipa mda wa kukifikiria...
Nimepata kuona, kusikia na kutendewa hiki kitu.
Nauliza hivi kwanini Wanaume hawapendi kuambiwa:
"Leo inabidi tuzungumze kuhusu jambo fulani" "Today We need to Talk"msisitizo.
Unaweza ukamwambia baba ako eti wewe baba umejamba?[/QUOTE]
Mkuu hapo nilipogogomea msumari nimecheka sana, any way hata hivyo baba akijamba sana sana utatoka nje kwenda kupata hewa safi sasa je unataka wadau wenzetu mabinti wachukue hatua hii wasiseme?
Nadhani mfumo dume bado unaitafuna jamii na hivyo mwanamke kuonekana hana nafasi ya kumweka mwanaume kiti moto.
Nadhani imefika wakati sasa wanawake kusoma alama za nyakati na kutumia fursa ya utandawazi kujieleza zaidi na siyo njia hii ya kizamani eti tukae vikao usiku na kuanza kunichambua wee umefanya hivi au vile. badala ya kupanga appointment, ambazo huwakera sana wanaume ni vyema kujipanga kabisa, ukilianzisha unalianzisha direct bila kusubiri muda.
Kuwapanga wanaume husababisha wakanywe pombe, akirudi ukaanza mada yako anakubomolea mbali na kunakuwa hakuna tena maelewano.
Wengine hutumia trick ya kuwatoa waume zao kisha kwenda kumwaga dukuduku lao sehemu za starehe na hapo ndio kila mmoja hutafuta usafiri wake na kuja kukutana nyumbani.
Mie naamini wanawake wana mbinu nyingi za kuwawin wanaume, Ingawa mie ni mwanaume, nazijua sana mbinu badala za kuwaweka wanaume wakatulia.
labda nitafute sehemu nianzishe ushauri wa ndoa na mahusiano naona km kazi hii naiweza sana tu.
wasalaam
SOUNDS TERRIFYING..........................:help: RED LIGHTSNimepata kuona, kusikia na kutendewa hiki kitu.
Nauliza hivi kwanini Wanaume hawapendi kuambiwa:
"Leo inabidi tuzungumze kuhusu jambo fulani" "Today We need to Talk"msisitizo.
Nimeona ukishamwambia hivyo kama mapenzi yanapungua au sijui ni kujiamini kunapungua sana, halafu atajizungusha mpaka usahau tena wakati mwingine unakuta kuna kosa hivi au kakwambia kitu ukaona ni vyema kuzungumza kwa kina lakini atayeyusha na kuipotezea kwa mbali.
Wenzangu mmewahi kuona au kukutana na kitu hii au ni mimi peke yangu???
Naombeni ushauri wenu.....
DA
Sijui kwa nn wanafanya hivi halafu usishangae kosa kafanya yeye atajitetea na kuligeuza uonekane wewe msichana ndo mkosaji
HATA MIMI BIBI NA BABU YANGU WANAITANA BABA NA MAMA, LAKIN NILIVYOWAULIZA WAKAJIBU HIVI.
BIBI: NAMWITA BABA MUME WANGU KSB SINA WAZAZI WANGU NA HUYU NDIYE ANAYENILEA NA KUNITUNZA KWA HIYO NAMWITA HIVYO KUMPA HESHIMA YAKE, HATA BABU NAYE ALIJIBU HIVYO hivyo.
NA WAKASEMA ENZI ZA UJANA WAO HAWAKUWAHI KUITANA HIVYO ILA WAMEANZA KUITANA UZEENI TU.
LAKIN MIMI ETI MNA MIAKA 20- 50 MNAANZA KUITANA MAMA NA BABA WAPENZI ??? mmmh!! kwangu hainiingii kabisa.
ni kweli kabisa wanaume hawapendi kuambiwa pale wanapokosea,mimi hiyo imenitokea hivi karibuni,alinikosea nikamweleza akabadilisha kosa lake kuwa langu,nilivyomwambia we need to talk akakwepa na visingizio kibao
Dena mkoloni wangu leo asubuhi ananiambia " We need to talk" ikabidi nianze kucheka tuKweli kabisa dear utashangaa anavyokubadilishia kibao utachoka mwenyewe sijui ndo nini yaani mmmh
Aisee salama kabisa nimemsoma Da Sophy ameniacha hoi dahMie mkoloni kapotezea mpaka sasa nikwambia hataki kusikia "we need to talk"
Offtopic: Salama lakini boss
Aisee salama kabisa nimemsoma Da Sophy ameniacha hoi dah