Kwanini Wanaume Hawapendi................................

Kwanini Wanaume Hawapendi................................

HATA MIMI BIBI NA BABU YANGU WANAITANA BABA NA MAMA, LAKIN NILIVYOWAULIZA WAKAJIBU HIVI.
BIBI: NAMWITA BABA MUME WANGU KSB SINA WAZAZI WANGU NA HUYU NDIYE ANAYENILEA NA KUNITUNZA KWA HIYO NAMWITA HIVYO KUMPA HESHIMA YAKE, HATA BABU NAYE ALIJIBU HIVYO hivyo.
NA WAKASEMA ENZI ZA UJANA WAO HAWAKUWAHI KUITANA HIVYO ILA WAMEANZA KUITANA UZEENI TU.

LAKIN MIMI ETI MNA MIAKA 20- 50 MNAANZA KUITANA MAMA NA BABA WAPENZI ??? mmmh!! kwangu hainiingii kabisa.
 
Tatizo sio hilo...tunapenda sana kuzungumza na nyie..ila sasa taabu ni namna nyie unavyojiandaa kuweka hicho mnachoita kitimoto. mtu kama utamsubiria sebuleni huku umekunja suru au ile naingia tuu ndani umenidakia na TODAY WE NEED TO TALK...no no. haiendi hivyo..au kama ni kwenye simu hiyo ndo inakuwa salamu..kuna namna ya kuifikisha ombi la kutaka kuzungumza...in a polite way..hata kama nilikuwa nimefanya kosa mpaka nije kushtukia nimetegwa najikuta nimeshajieleza mwenyewe..wakati mnataka kuzungumza na wanaume zenu msianze kwa jazba..ikiwa hivyo aah haitowezekana. "today we need to tok" its rude language kwa mume wako..hata kama umekukosea ua kuna jambo unataka kumrekebisha..weka hasira na jazba pembeni..then muulize kwa ustaarabu utampata tuu na wala hatajizungusha
 
unajuaa dada..mwanaume ukimwambia''to day we need to talk" lazimaa akuzungushe sababu kubwaa anajiuliza kuna kitu gani au nini nimefanya so anajipa mda wa kukifikiria...
Tuweke wazi kwamba tatizo ni kutojiamini na kikubwa wengi nadhani watakuwa na mabaya nje ya ndoa au mahusiano
 
Namna unavyomweleza inategemea huenda kwa ukali ila inatakiwa umweke mwenzio katika mazingira yakutamani kujua nini mwenza wake anataka mweleza.
 
Nimepata kuona, kusikia na kutendewa hiki kitu.

Nauliza hivi kwanini Wanaume hawapendi kuambiwa:

"Leo inabidi tuzungumze kuhusu jambo fulani" "Today We need to Talk"msisitizo.

...Dah, kumbe tupo wengi?

Experiences zimenifunza kuchukua tahadhari na kujiuliza, kulikoni tena
mpaka tuambiane tuzungumze ilhali mazungumzo kila siku twaongea?

Aaahh, mnatukwaza sana na nyie bana.
 
ni sawasawa tulivyokuwa wadogo

uambiwe baba yako anakuita nyumbani.....

au uambiwe subiri baba yako arudi kazini....

unajua nini kitafuata
 
Ana buy time ili awasiliane na mahawara zake kama kuna ambaye mme-collide au kama umeshtukia issue ajipange jinsi ya kuku pet pet.
 
Unaweza ukamwambia baba ako eti wewe baba umejamba?[/QUOTE]

Mkuu hapo nilipogogomea msumari nimecheka sana, any way hata hivyo baba akijamba sana sana utatoka nje kwenda kupata hewa safi sasa je unataka wadau wenzetu mabinti wachukue hatua hii wasiseme?

Nadhani mfumo dume bado unaitafuna jamii na hivyo mwanamke kuonekana hana nafasi ya kumweka mwanaume kiti moto.

Nadhani imefika wakati sasa wanawake kusoma alama za nyakati na kutumia fursa ya utandawazi kujieleza zaidi na siyo njia hii ya kizamani eti tukae vikao usiku na kuanza kunichambua wee umefanya hivi au vile. badala ya kupanga appointment, ambazo huwakera sana wanaume ni vyema kujipanga kabisa, ukilianzisha unalianzisha direct bila kusubiri muda.

Kuwapanga wanaume husababisha wakanywe pombe, akirudi ukaanza mada yako anakubomolea mbali na kunakuwa hakuna tena maelewano.

Wengine hutumia trick ya kuwatoa waume zao kisha kwenda kumwaga dukuduku lao sehemu za starehe na hapo ndio kila mmoja hutafuta usafiri wake na kuja kukutana nyumbani.

Mie naamini wanawake wana mbinu nyingi za kuwawin wanaume, Ingawa mie ni mwanaume, nazijua sana mbinu badala za kuwaweka wanaume wakatulia.

labda nitafute sehemu nianzishe ushauri wa ndoa na mahusiano naona km kazi hii naiweza sana tu.

wasalaam
 
Nimepata kuona, kusikia na kutendewa hiki kitu.

Nauliza hivi kwanini Wanaume hawapendi kuambiwa:

"Leo inabidi tuzungumze kuhusu jambo fulani" "Today We need to Talk"msisitizo.

Nimeona ukishamwambia hivyo kama mapenzi yanapungua au sijui ni kujiamini kunapungua sana, halafu atajizungusha mpaka usahau tena wakati mwingine unakuta kuna kosa hivi au kakwambia kitu ukaona ni vyema kuzungumza kwa kina lakini atayeyusha na kuipotezea kwa mbali.

Wenzangu mmewahi kuona au kukutana na kitu hii au ni mimi peke yangu???

Naombeni ushauri wenu.....

DA
SOUNDS TERRIFYING..........................:help: RED LIGHTS
 
..."NATAKA LEO TUZUNGUMZE!" mara nyingi hutafsirika kama;

lion_and_lioness_during_marriage92.jpg


..."NATAKA LEO UNIAMBIE UKWELI!"...
 
...Dah, kumbe tupo wengi?

Experiences zimenifunza kuchukua tahadhari na kujiuliza, kulikoni tena
mpaka tuambiane tuzungumze ilhali mazungumzo kila siku twaongea?

Aaahh, mnatukwaza sana na nyie bana.

Unaona sasa.......................
 
Ulilikoroga mwenyewe shosty. Kisa kumhoji mwenzio kama askari anahoji mhalifu? Niamini, ukiendekeza utaachwa sasa hivi, utakuja kutuambia

Wewe hujawahi kuwekwa lock up ndo maana muone kwanza...................alahhhhhhhhhhhhhhhhh
 
HATA MIMI BIBI NA BABU YANGU WANAITANA BABA NA MAMA, LAKIN NILIVYOWAULIZA WAKAJIBU HIVI.
BIBI: NAMWITA BABA MUME WANGU KSB SINA WAZAZI WANGU NA HUYU NDIYE ANAYENILEA NA KUNITUNZA KWA HIYO NAMWITA HIVYO KUMPA HESHIMA YAKE, HATA BABU NAYE ALIJIBU HIVYO hivyo.
NA WAKASEMA ENZI ZA UJANA WAO HAWAKUWAHI KUITANA HIVYO ILA WAMEANZA KUITANA UZEENI TU.

LAKIN MIMI ETI MNA MIAKA 20- 50 MNAANZA KUITANA MAMA NA BABA WAPENZI ??? mmmh!! kwangu hainiingii kabisa.


Wewe una akili sana ujue........................
 
ni kweli kabisa wanaume hawapendi kuambiwa pale wanapokosea,mimi hiyo imenitokea hivi karibuni,alinikosea nikamweleza akabadilisha kosa lake kuwa langu,nilivyomwambia we need to talk akakwepa na visingizio kibao


Kweli kabisa dear utashangaa anavyokubadilishia kibao utachoka mwenyewe sijui ndo nini yaani mmmh
 
Dena mkoloni wangu leo asubuhi ananiambia " We need to talk" ikabidi nianze kucheka tu

Mie mkoloni kapotezea mpaka sasa nikwambia hataki kusikia "we need to talk"

Offtopic: Salama lakini boss
 
Back
Top Bottom