Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,273
- Thread starter
- #141
i like this...!sipendi mtu anaetafuna maneno na kupanga panga vikao.una kitu unanitazama usoni,unasema cha moyoni afu tunaanzia hapo.sio...'ooh this weekend tafuta muda kuna jambo nataka tuongee..' yani muda huo hutapata mamaangu!!
Ha ha ha ha ha acha ukoloni wewe bana kha...