Bi zandile
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 301
- 856
mzuri kwa muonekano wa nje ukute ndani ni kiredio ndani ya majumba kuna mengi ambayo nje huwezi yaonaUnakuta mkaka ana mke mzuri mwenye sifa zote za uzuri lakini hatulii kwa huyo mkewe, anachepuka na mdada mwingine tena wa kawaida tu.
Kwa nini wanaume huchepuka?
Chanzo kikuu cha wanaume kuchepuka ni kubaniwa tendo la ndoa
Mdada kuwa mzuri katika ndoa sio kila kitu. Shida wadada mkishaolewa mnaanza kuchukulia mambo poa
Bila shaka wewe ni mchepukaji nguli 🤣Mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja!!
Aiseemzuri kwa muonekano wa nje ukute ndani ni kiredio ndani ya majumba kuna mengi ambayo nje huwezi yaona
Sio wanaume tu, hadi wanawake wanachepuka sana tuUnakuta mkaka ana mke mzuri mwenye sifa zote za uzuri lakini hatulii kwa huyo mkewe, anachepuka na mdada mwingine tena wa kawaida tu.
Kwa nini wanaume huchepuka?
Nijue namna ya kumdhibiti mwanaume wangu asiwe mchepukajiunataka ujue ili ufanye nn