Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,226
- 1,757
Habari za jioni.
Yaani si ofisini si kwenye lift si kwenye sehemu yoyote msichana akiomba msaada anasaidiwa haraka sana.
Balaa kwa madume hata litoe machozi halipewi msaada.Mwenye gari anaweza kuwapita wanaume watatu akifika mbele akaona mdoli atafunga breki mpaka gari lisote na atafungua mlango demu aingie.
What's wrong with madume?
Huko maofisini mmh eka idu.