Kwasababu ni wavuvi, personally i appreciate msaada kutoka kwa mwanamke mwenzangu, kuliko kwa mwanaume asiyekuwa wangu,
Wanaume siku zote wanacho cha kutudai, na kwangu mimi ni ngumu sana kulipa kwa staili hiyo. Kwahivyo ni bora nisipate msaada wa hivyo.
Misaada from opposite sexy “mara nyingi” sio genuine,
However ni misaada ya haraka sana Kama unapenda penda misaada ask from opposite sexy and by this will make you a “user”.
Lakini pia misaada yao ya hapa na pale inatufanya tujisikie vizuri, Kati ya wanaume 10 utaokutana nao kwa siku, wote 10 au tisa kati yao watakutreat vizuri, wanaufanya ulimwengu uwe mzuri pamoja na hidden agenda zao.
Pokeeni maua.