Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,226
- 1,757
Nani aliwadanganya kuhusu hilo??Asili ya mwanamke ni kupokea na mwanaume ni kutoa.
Ndio maana alipokea ubavu wako ili awe aishi
Law of demand and supplyHabari za jioni.
Yaani si ofisini si kwenye lift si kwenye sehemu yoyote msichana akiomba msaada anasaidiwa haraka sana...
Ifike hatua ugomvi wako na wanawake wa kipare uishe🤣🤣🤣🤣Inategemea ni mwanamke gani kama ni mwanamke wa kipare hawezi kupata msaada wangu
Au mwanamke aliesuka zile nywele ndefu za rangi rangi kapaka makeup kucha ndefu huyo nae hakuna msaada natoa kwake.
Natamani nihame nchi siwezi kukaa nchi moja na wanawake wa kipare wakiwepo
Hata wanawake ni hivyo hivyoHabari za jioni.
Yaani si ofisini si kwenye lift si kwenye sehemu yoyote msichana akiomba msaada anasaidiwa haraka sana.
Balaa kwa madume hata litoe machozi halipewi msaada.Mwenye gari anaweza kuwapita wanaume watatu akifika mbele akaona mdoli atafunga breki mpaka gari lisote na atafungua mlango demu aingie.
What's wrong with madume?
Huko maofisini mmh eka idu.
Ni haki yetu JamaniHabari za jioni.
Yaani si ofisini si kwenye lift si kwenye sehemu yoyote msichana akiomba msaada anasaidiwa haraka sana.
Balaa kwa madume hata litoe machozi halipewi msaada.Mwenye gari anaweza kuwapita wanaume watatu akifika mbele akaona mdoli atafunga breki mpaka gari lisote na atafungua mlango demu aingie.
What's wrong with madume?
Huko maofisini mmh eka idu.
Wanaume 97% ni wanafiki, hawatoi misaada bali hongo ya tiketi ya kuona uchi. ShtukaHabari za jioni.
Yaani si ofisini si kwenye lift si kwenye sehemu yoyote msichana akiomba msaada anasaidiwa haraka sana.
..
Haki gani ni tiketi ya kuvuliwa ktupi weweNi haki yetu Jamani
Sio kwa kila mdada akisaidiwa anafanyiwa hivoHaki gani ni tiketi ya kuvuliwa ktupi wewe
90%Sio kwa kila mdada akisaidiwa anafanyiwa hivo