Kwanini wanaume hutoa msaada haraka kwa wasichana kuliko kwa wavulana?

Like charge hukwepana and unlike charge huvutana.
 
Kwasababu ni wavuvi, personally i appreciate msaada kutoka kwa mwanamke mwenzangu, kuliko kwa mwanaume asiyekuwa wangu,

Wanaume siku zote wanacho cha kutudai, na kwangu mimi ni ngumu sana kulipa kwa staili hiyo. Kwahivyo ni bora nisipate msaada wa hivyo.

Misaada from opposite sexy “mara nyingi” sio genuine,
However ni misaada ya haraka sana Kama unapenda penda misaada ask from opposite sexy and by this will make you a “user”.

Lakini pia misaada yao ya hapa na pale inatufanya tujisikie vizuri, Kati ya wanaume 10 utaokutana nao kwa siku, wote 10 au tisa kati yao watakutreat vizuri, wanaufanya ulimwengu uwe mzuri pamoja na hidden agenda zao.

Pokeeni maua.
 
Kwa upande wangu mwanaume mwenzangu ndiyo kipaumbele yaani nipo tayari nimpe hata laki 5 bila kunirejeshea na roho inakuwa nyeupe kabisa ila kwa mwanamke hapana hata ten yangu kuionja ni ngumu.

Hao wanaume unaowazungumzia kwamba wanapenda kuwasaidia wanawake kuliko wanaume labda ni wale washamba wa mapenzi ama wametoka huko pembezoni mwa nchi.😆
 
Kanuni hipo kwenye fizikia ya kidato cha pili. Vinavyofanana hukwepana na visivyofanana huvutiana.
Hata wanawake kutoa misaada kwa wasichana wenzao ni ngumu, refe case ya mtoto wa buza.
 
Nguvu ya Mungu ya uumbaji ipo hivyo karne na karne na itakuwa hivyo milele
 
Mawazo baada ya kunyimwa lift 😂😂😂
 
Mwanamke anaweza akawa na utajiri wa kutosha na hana biashara 😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…