Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Akili zako unazijua mwenyewe
 
Sababu zitasemwa nyingi lakini ukweli ni huu.

Kuchepuka imefanywa ni fahari kwa mwanaume.

Ukipiga stori na jamaa yeyote katika umri wowote, atahitimisha mazungumzo kuhusu mahusiano kwa kuonyesha kuchepuka ni ufahari.
Hiyo ni kuanzia vijana mpaka wazee.

Lets be honest, ukiwa kijiwe chochote, cha wastaarabu mpaka wahuni, ukiwa ni mwaminifu utaonekana mshamba na watakushangaa.

Hii ndio maana wanaume wenye muda mchache na masela, are most likely to be faithful.

Basi kiufupi hamna dawa. Coz ni mob psychology.
 
Saf
 
Wala hujakosea ni kweli kabisa
 
Yandani huwezi jua mwanaume anayetoka nje ndiye anayeweza kujibu swali hilo anajua kwanini anatoka kama ni majini yake yanamtuma, kama tamaa, kama haridhiki, kama havutiwi na papuchi... aulizwe mwenyewe kwa umakini atajibu utajua na kuelewa sababu yake yeye kutoka nje
 
Tumezidi kwa kipimo gani na/au cha nani?

Manake mi nijuavyo mara nyingi kama siyo zote wanaume huchepuka na wanawake.

Sasa kwa nini lawama ziende kwa upande mmoja tu?
Na Mara Nyingi wanawake hufatwa na wanaume mkuu
 
Ah ah sjasema Mimi..
Hapo ulimaanisha nn?
 


Kuchepuka ni moja ya kigezo cha kutufanya tuwapende wake zetu zaidi, hivyo usihofu bi dada.
 
Inawezekana kuwa kwenye ndoa bila mchepuko.

Mimi bado sjaoa lakini.
 

Na mie nataka nichepukie kwako mrembo, nakuja PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…