Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Kuna kitu anakikosa kutoka kwako sio bure
 
Kaka nimekuekewa... Aise duuu!![emoji122] [emoji122] [emoji122]
Huyu Dada aliyeleta uzii huu atakuwa Hana swali kabisa
 
Nyie ni kama shock absorber, sasa mmejisahau mmekuwa ka road bumps! mnatuongezea stress baada ya kutupunguzia, sasa kwa nn usichepuke!!!

Heshima kwenu michepuko popote mlipo.........
 
Ni asili ya mwaname kuwa na mke zaidi ya mmoja!Mfano,karibu makabila yote kama si yote ya kiafrika kabla ya dini za kisasa kuingia,wanaume walikuwa wana uhalali wa kuoa au kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja na haikuwa shida kwa wanawake!Na kipindi hicho hakukua na hii lugha inayoitwa kuchepuka!
Sasa baada ya dini na haya yanayoitwa utandawazi,ugumu wa maisha,maradhi n.k,ndio imemuondelea mwanume ile kinga ya kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja,lkn ile asili bado inabishana sana na hayo mabadiliko,ndio maana wanaume wengi si rahisi kuwa na mwanamke mmoja!
 
Reactions: a45

Hewaaaala na ubarikiwe... Unatumia kinywaji gani?
 
Japo ni mrefu alaf ni lugha ya malkia ila nimeupenda sana huu uzi wako mkuu
 
Kuchepuka hakuna jinsia. Ni tabia ya mtu binafsi. Kuna wanawake wanapewa kila kitu, lakini huchepuka.

Kwa upande wangu mimi, huwa naenjoy kufanya mapenzi na wanawake tofauti. Yaani ili nipate raha ya kwichi kwichi, lazima nifanye na wanawake wapya. Na hii ipo kwa wengi kama sio wote. Hata wanawake pia wapo hivyo.

Hii ni kutokana na huu mfumo wa kuoana na kukaa na mke mmoja kuwa ni wa kufundishika. Yaani sio nature yetu.


....... Nitaendelea
 
Can be a fact maybe
Hilo ndiyo jibu lenyewe. Uwezekano wa kuwa mwanaume ungekuwepo ungethibitisha huu utafiti. Then ukarudia kuwa mwanamke na usingeweza kuleta huu uzi tena. Tatizo ni pale unapofikiri wanaume wanapaswa kuwa kama unavyofikiri ndo unakosea. Mwanamke na mwanaume wako sawa ila hawako sawa sawa. We are biologically different and our desires are different. So you can't understand a man's motive for his behaviour if you have a woman perspective.
 
Main road zenyewe zikiwa kwenye service zinakuwa na Mchepukoo...!! Sembusee Sisi Wanaumeee.... Hapaa kazii tu
 
Wanaweke hamwesi jua kwanini, hiyo kwanini tunaijua sisi wenywew ndio maana tunawataftia michepuko ya kuwasaidia maana mmoja hatutoshi
 
mkuu nahisi hii ndo best comment of the year
 
Good fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…