Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Namimi nauliza hiyo michepuko wanafanya wao kwa wao?kama wanafanya na wanawake mbona unahukumu kwa upendeleo? Michepuko ni wote tu,
 
Nimejifunza kitu kikubwa sana hapa
 
Fact with no dispute
 
Loading...... Near to fact. Real situation reveals that is genuine truth. well
 
Congrats mkuu, I wanted to like your post but then at the end I found it is not yours. It is R.M's article, I can see you already have about 58 "likes". All in all thanks for the article
 
Bado naendelea kumnukuu mzee wangu katika moja kauli zake....

"Mke Mmoja Hudumaza Akili"
Na amini nakwambia, mzee wako alikuwa ni mtu mwenye busara sana. Mungu ambariki kama yupo, na amrehemu kama ametangulia. Watakuja wenye mipovu yao kukuponda lakini mzee wako was genius
 
Are you saying all these people are stupids????
 
Kwani wanaume wanakuwa na michepuko wao kwa wao??? Why not wanawake kwanini mnakuwa na waume za watu km michepuko??
 

Duh,
Hawa ndio maProfessor wanaotakiwa Tanzania ya viwanda. Wanafanya uchambuzi mpaka raha.

Yaani kapigilia misumari mule mule.

Na siku hizi michepuko ishajua kama huwa tunaenda kwao kwa ajili ya mgegedano tu, na ikifika saa nne usiku ,huwa unakumbushwa kuwahi kwenda kwa wife.
 
Once you realize that your wife cheats on you, find some reasons why she behaves so. If you cheat her as well try to reduce even to stop. If she continues, please! separate from her because the death is at hand. According to professor "a man can cheat on his woman and still love her but a woman cannot cheat on her man and still love him "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…