Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Congrats mkuu, I wanted to like your post but then at the end I found it is not yours. It is R.M's article, I can see you already have about 58 "likes". All in all thanks for the article
I am not a pretender bro!! That's why I mentioned the Prof.
We here to share not for likes.
 
Moyo wa Mwanaume umeumbwa kupenda Wanawake zaidi ya mmoja na Akili yake inaweza kuwaongoza bila madhara kama hali zote zitakuwa sawa(Constant).
Ila Moyo wa Mwanamke umeubwa kwa ajili ya Upendo wa Mwanaume mmoja na watoto, wazazi, ndugu , jamaa na marafiki. Akili zetu wanawake hazina uwezo wa kuongoza mahusiano zaidi ya moja ni wachache wanaweza wengi huishia kukamatwa tu kwani utaanza na dharau na rough nyingine kibao.
 
Wee kweli unawajua wanaume
 
Well said sir
 
Well said sir
 
HAKUNA mwanaume anayewezaa kutulia na mke mmoja tu, ila wapo wanaume wanaowaheshimu wake zao kwa kuwa wasiri katika michepuko yao na hao ndio wanaitwa wanaume watulivu.. LAKINI ili mwanaume aweze kutulia ni lazima mwanamke wake awe malaya na changudoa akiwa chumbani hakuna kitu wanaume wanachotafuta nje zaidi ya zile tabia za kimalaya malaya, kikahaba na kichangudoa kuanzia uvaaji mpaka mashauzi, sio wewe kutwa upo smart yaan umevaa chupi, tait, sket na kitenge juu ukaongezea na baibui au nikabu.... Chumbani siyo nyumba ya ibada au altare takatifu..
 
Kitchen party mubashara kabisa
 
Ukiona hivyo ujue humpi papuchi yako ipasavyo au sasa hv imekuwa haina radha
 
Well said mkuu
 

Kwa sababu tunachepuka na wanawake.
 
Zibeni kwa super glue muone kama tutachepuka!! Unaiweka wazi kama ya mbuzi halafu unalalama. Shame upon you
 
You must be a psychologist mkuu!!!!
 
Gari usiyoitembelea Mara kwa Mara tairi haziishi kwa muda mfupi. Tunatumia gari ya kukodi wakati mwingine ili ya kwako isichakae upesi.Nimesomekaaa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…