Kwanini wanaume mnapenda kucheza nusu uwanja?

Kwanini wanaume mnapenda kucheza nusu uwanja?

Nipigie

Senior Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
121
Reaction score
7
football-match_3858.jpg
.

HAYA MECHI IMEISHA?? MSIRUDIE TENA.
 
labda sehemu nyingine ya uwanja kuna miba,ila sio wote kuna wengine watukutu wanacheza mpaka nje ya uwanja!!!
 
Nipigie utapigiwa vipi kama huweki namba yako ? wako wanaotumia Zantel wanatwanga tu tena 'kote kote' na wanatumia uwanja mzima.
 
Si ili tufunge magoli mengi,we ushaona wapi mshambuliaji anakimbia goli la mpinzani?
 
Jinsi unavyosogelea goli ndivyo ambavyo mashabiki wanazidi kupagawa na kushangilia lakini ukicheza mpira mbali na goli mashabiki kimyaa! utadhani siku hiyo hakuna mechi.
 
aaagh hi kali, ndio hivyo tena goli lipo ndani hivyo vizuri kulisogelea ili goli lenyewe lijibu
 
mmmmmmhhhhhh
kwa kweli leo nasoma poster zote za hii thread ..
nataka kuona majibu yote lol
 
Mpira ni magori, ndani ya kumi na nane ni rahisi kufunga gori.
 
Maana katika nusu ya uwanja ndipo goli lilipo, na huwezi jua unaweza pata zali ukatumbukiza three in one cross.
 
Back
Top Bottom