Kwanini wanaume siku hizi hawaoi haraka?

Kwanini wanaume siku hizi hawaoi haraka?

Kuoa ni kujipanga sio kukurupuka na uaminifu siku hizi ni F sasa mpaka umpate wa ukwel anaefaa mbinde.
 
Kujiandaa ili kuweza kuhimili gharama kubwa za maisha ya ndoa, kutokuwa na mchumba ambaye muoaji anaona anastahili kuolewa naye, Wanaume wachakachuaji ambao labda baada ya kuumizwa kimapenzi au kusikia/kuona ndugu, rafiki au jamaa aliyeumizwa kimapenzi hivyo kuamua labda hawataki kuoa tena au kutoona umuhimu wa kuoa mapema.
 
Mimi sijui, japo ni miongoni mwa wasiooa lakini sina majibu........ngoja niendelee kusoma majibu ya wenzangu. Swali langu ni upi umri sahihi wa kuoa? Je kuchelewa kuoa ni pale mwanaume anapofikisha miaka mingapi?
 
kwa sababu wanajihusisha na ngono wakiwa wadogo sana,hivyo hawaoni umuhimu wa kuoa......:whistle:
 
kama unaweza kupata glass ya maziwa kibandani ukapoza kiu!ya nn ufuge n'gombe?

hii pia inaapply kwa upande wa pili, kama utaweza kupata sausage zenye flavour tofauti kama spiced, chilli nk, ya nini kufuga nguruwe mzima
 
hebu msaidie huyo muoaji bana..................

Kuoa watu hutangaza??? Muda ukifika tu mwake......halafu wewe nimekwambia rudisha ile signature ya zamani husikiii sijui ukoje hii haina mshiko ya nyuki mie penda ile ya zamani bana do the needful kindly i beg you right???
 
Back
Top Bottom