Mwanamme unabakije sehemu moja?Kwa nini ni WANAUME tu ndio tunahama kuunga mkono juhudi? Inawezekana hata NDOA nyingi tunaziyumbisha sisi wanaume. Tunatia AIBU si kidogo.
Tunatiaje AIBU sasa!Kwakweli mnatia aibu sana bora umeliona hilo
Kwani unafikiri mliamua wenyewe kuniamini?Mwanaume unasaliti vipi wananchi waliokuamini na kukuchagua.
Mnanunulika kirahisi kuliko wanawakeTunatiaje AIBU sasa!
Teh teh A na B yote majibuAu inawezekana wanashauriwa na wake zao
duuuh...Mnanunulika kirahisi kuliko wanawake
Hata kama vyuma vimekaza vumilieni tu au ndio uroho wa madaraka ili 2020 ili mrudi tena mjengoniduuuh...
Bora wahame wanaume tu, wakihama wanawake wabongo watasema wanatoka na jiwe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa nini ni WANAUME tu ndio tunahama kuunga mkono juhudi? Inawezekana hata NDOA nyingi tunaziyumbisha sisi wanaume. Tunatia AIBU si kidogo.
Sasa je... ila nyie ndiye mwatushauri usiku??Hata kama vyuma vimekaza vumilieni tu au ndio uroho wa madaraka ili 2020 ili mrudi tena mjengoni
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Mnanunulika kirahisi kuliko wanawake
Sisi lazima tuwashauri nani anapenda kuishi maisha ya shida anajua akirudi kwa chama chake hatashinda ubunge yajayo yanafurahisha sana tutegemee mengi zaidi ya kushangazaSasa je... ila nyie ndiye mwatushauri usiku??
Shikamoo mkuu wangu[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
hapo tupo sawa.. msalimie dada yako.Sisi lazima tuwashauri nani anapenda kuishi maisha ya shida anajua akirudi kwa chama chake hatashinda ubunge yajayo yanafurahisha sana tutegemee mengi zaidi ya kushangaza