Kwanini Wanaume tu.?!

Kwanini Wanaume tu.?!

Cowman

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
1,715
Reaction score
3,158
Kwa nini ni WANAUME tu ndio tunahama kuunga mkono juhudi? Inawezekana hata NDOA nyingi tunaziyumbisha sisi wanaume. Tunatia AIBU si kidogo.
 
Mwanaume unasaliti vipi wananchi waliokuamini na kukuchagua.
Kwani unafikiri mliamua wenyewe kuniamini?

niliwashawishi mkaniamini... nitawashawishi tu mnifuate.
 
Hapo ndo utajua wanaume ni watata sana kuliko wanawake
 
Binafsi nimekuelewa lakini nina swali kwako. Hivi mkeo akiwa anakusaliti huku unamtimizia kila kitu utaendelea kuishi naye? Kumbuka kuna wanawake wengine hawastahili kuolewa hata afanyeje nuksi ya kuwa single anayo.
 
Labda kwa sababu tulipewa mamlaka ya kuwa na mke zaidi ya mmoja
 
Kwa nini ni WANAUME tu ndio tunahama kuunga mkono juhudi? Inawezekana hata NDOA nyingi tunaziyumbisha sisi wanaume. Tunatia AIBU si kidogo.
Bora wahame wanaume tu, wakihama wanawake wabongo watasema wanatoka na jiwe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa je... ila nyie ndiye mwatushauri usiku??
Sisi lazima tuwashauri nani anapenda kuishi maisha ya shida anajua akirudi kwa chama chake hatashinda ubunge yajayo yanafurahisha sana tutegemee mengi zaidi ya kushangaza
 
Sisi lazima tuwashauri nani anapenda kuishi maisha ya shida anajua akirudi kwa chama chake hatashinda ubunge yajayo yanafurahisha sana tutegemee mengi zaidi ya kushangaza
hapo tupo sawa.. msalimie dada yako.
 
Back
Top Bottom