Kwanini Wanaume tu.?!

Binafsi nimekuelewa lakini nina swali kwako. Hivi mkeo akiwa anakusaliti huku unamtimizia kila kitu utaendelea kuishi naye? Kumbuka kuna wanawake wengine hawastahili kuolewa hata afanyeje nuksi ya kuwa single anayo.
Mfano wako si relevant mkuu! Sifa ya mwanaume ni kupambana anapitia magumu, unawezaje kukimbilia kwa jirani eti kisa anafanya vizuri. Basi bora ungeamua kujiuzuru na ukaa pembeni kuliko kukimbilia upande wa pili.
 
Kwa nini ni WANAUME tu ndio tunahama kuunga mkono juhudi? Inawezekana hata NDOA nyingi tunaziyumbisha sisi wanaume. Tunatia AIBU si kidogo.
Nafikiri badala ya kulaumu wanaume wote. Walaum hao waliama tu. Sio wote tuko hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…