love b
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 2,155
- 3,162
Hili nalo nenoBora wahame wanaume tu, wakihama wanawake wabongo watasema wanatoka na jiwe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili nalo nenoBora wahame wanaume tu, wakihama wanawake wabongo watasema wanatoka na jiwe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mfano wako si relevant mkuu! Sifa ya mwanaume ni kupambana anapitia magumu, unawezaje kukimbilia kwa jirani eti kisa anafanya vizuri. Basi bora ungeamua kujiuzuru na ukaa pembeni kuliko kukimbilia upande wa pili.Binafsi nimekuelewa lakini nina swali kwako. Hivi mkeo akiwa anakusaliti huku unamtimizia kila kitu utaendelea kuishi naye? Kumbuka kuna wanawake wengine hawastahili kuolewa hata afanyeje nuksi ya kuwa single anayo.
hapo tupo sawa.. msalimie dada yako.
Nafikiri badala ya kulaumu wanaume wote. Walaum hao waliama tu. Sio wote tuko hivyoKwa nini ni WANAUME tu ndio tunahama kuunga mkono juhudi? Inawezekana hata NDOA nyingi tunaziyumbisha sisi wanaume. Tunatia AIBU si kidogo.
Kwa nini ni WANAUME tu ndio tunahama kuunga mkono juhudi? Inawezekana hata NDOA nyingi tunaziyumbisha sisi wanaume. Tunatia AIBU si kidogo.