demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Mambo vipi wadau.
Nimeulizwa hili swali DM na pisi zaidi ya 4 wiki hii. Ngoja nilijibu kwa kwa ujumla.
Wanaume ambao tunaruka ruka pasi na kutulia na pisi mmoja huwa tuna lengo la kuhakikisha tunapitia kila aina ya muonekano, ikiwemo wanene, wembamba, warefu, wafupi, weusi na weupe. Lengo ni kuwapitia wote ili tutambue utofauti wao una manufaa gani. Lengo ni kutambua kwanini Mungu aliwaumba wakiwa na utofauti utofauti wa namna ile. lengo lingine ni kuwahadithia washkaji kuwa sisi tumepitia kila aina. Lengo lingine ni kushibisha udadisi wetu, maana tukiwa vijiweni stori zinakuwaga nyingi sana, Mara ohh weupe ni watamu mara weusi ni watamu. nk.
Sasa tunapopaliza mzunguko wa kupitia wa aina zote ndipo tunakuja kugundua kuwa hakuna tofauti msingi baina yao. Tunakuja kugundua kuwa utofauti wao hauna umuhimu sana kama tabia. Maana tabia ni bidhaa adimu sana unayoweza kuipata. tunakuja kugundua kuwa tumeumaliza ushamba wa kushangaa makalio makubwa au pisi nyeupe, kwa kuwa tayari tunakuwa tumesha zipitia zote na kugundua sio big deal wala nini.
Ndio maana wahuni wengi tunaopenda kununua nyanya tuna penda kubonyeza bonyeza ovyo ovyo kabla hatujagundua kuwa hatuhitaji nyanya bali tunahitaji bilinganya.