Kwanini wanaume tusi reverse majukumu sasa.. Ili heshima ije?

Infact feminine energy is the most powerful and creative energy. Ila wanaitumia kumanipulate wanaume, na kweli wanafanikiwa ila hawajui ni short term, kuna kuchuja na soko kuisha.

Ila ukipata mwanamke mwenye akili broo, umetoboa.. Huoni Dangote a navyo tumia binti zake kukuzaa kampuni zake?
 
WOMEN'S They pursue degrees and careers, not just to build their own future.

but to eventually enjoy financial security through the men they date or marry as if the relationship itself were the dream job.
Facts, wanatumia knowledge kuleta mind games ndani ya familia, huku wakitumia uzuri wao na ngono kummanioulate mwanaume. No mwanaume mshamba ambaye ataendelea kutumika nyakati hizi
 
USA rate ya kataa ndoa inazidi kuongezeka.

Hata TZ nao vijana hawana time na ndoa ,mtu ana kipato lakini hana time na ndoa while yupo above 28.
 
Wewe si kitu

Hapana. Halafu Haya maswali ni ya kuulizana PM
Kwani kuwa single ni hali ya kuificha kiasi cha kutaka muulizane PM. What if a potential partner yupo hapa anakusoma?
 
Wanakataa ila deep down hawaja pata mtu wa ku commit that's it.. Hakuna mwanaume mwenye akili timamu asiye penda kuoa
Nakubaliana na wewe ,wanawake wa sasa ni JAU sana ,inahitaji MOYO wa CHUMA kuingia nao NDOANI.
 
kiaje mnataka mwanamke ainvest kwenu na mna mkakati gani wa kuwaambia wanawake wainvest kwenu? au ni wanawake gani mnaowatarget haswa? naomba kufahamishwa.
 
Leave it or take it expensive we sheet, gademit...kiturist
Leave it or take it, expensive sheet gademit, kiturist
 
Leave it or take it expensive we sheet, gademit...kiturist

Leave it or take it, expensive sheet gademit, kiturist
Mwamba anaongea kama ana ego flani hivi au ni min -me maana naye anapenda kutumiaa hilo neno😂

Ila jamaa yuko sahihi kabisa hakuna kukaa ninyonge this time around
 
Timiza wajibu wako mengine achia nature iamue....
Nature bongo? 😂 Kwanza nature nyie wenyewe mnaikataa alaf mnataka sisi tuifwate? Simnasema nature ya mwanaume kuwa kiongozi ni batili basi na nyie mchukuwe jukumu la kuweka something on the table labda akili zitawajia
 
Unapata wapi wanawake ambao wanakukamua hivyo mpaka unataka pasu kwa pasu...itakua wamekukamua mpaka hutamani tena...
Pole....ila mwanaume ni provider in nature...just do it...
 
Unapata wapi wanawake ambao wanakukamua hivyo mpaka unataka pasu kwa pasu...itakua wamekukamua mpaka hutamani tena...
Pole....ila mwanaume ni provider in nature...just do it...
Mimi wala sina historia ya kukamuliwa maana sina tabia ya kutafta wanawake kausha damu. Sio kwamba simtamani tena bali niko so aware of games mpaka naona mwanamke anayetumia upenyo wa ndoa kama sehemu ya kujipatia kipato kama takataka
 
Not easy like that, uliza walionasa wakupe update, kama haujawa trapped shukuru Mungu, wapo wanaweza kuigiza hata 10 years halafu unapigwa tukio you can't imagine....acha...Ishi kituristi gademit,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…