Kwanini wanaume tusi reverse majukumu sasa.. Ili heshima ije?

Not easy like that, uliza walionasa wakupe update, kama haujawa trapped shukuru Mungu, wapo wanaweza kuigiza hata 10 years halafu unapigwa tukio you can't imagine....acha...Ishi kituristi gademit,
Mwanamke wa maigizo hutoa redflags tokea mwanzo, na ukisha ona ni wewe ndiye unayejitoa kiuchumi, kihisia na kiakili thru out shituka...

Ndo maisha ya kituristi hayo
 
Mwanamke wa maigizo hutoa redflags tokea mwanzo, na ukisha ona ni wewe ndiye unayejitoa kiuchumi, kihisia na kiakili thru out shituka...

Ndo maisha ya kituristi hayo
Ndiyo maana nimeandika "ishi kituristi gademit expensive...." kama Chima
 
Inategemeana halafu saivi wanaume ni wachache wengi ni wavulana unataka mwanamke awekeze kwenye hamna kama tu we mwenyew utakuta unaabudia sana nyau na unaogopa kumpoteza ,huna maamuzi kma mwanaume,hujipendi,hujiheshimu wew na muda wako ,hujitangulizi ,huna mipango kwenye mahusiano huna mipaka huna vigezo as long as ana nyau we twende kazi,hujui kunyumbulika ,Huwezi kumwongoza,Huwezi kufanya ajisikie s*x ,Huwezi kufanya ajione spesho bila kuhonga ,kwenye kumtongoza ulitanguliza pesa ,kazi au wadhifa wako sasa hapo mwnamke awekeze Nini sasa kma sio michosho ndo hapo mtu apigwa vizinga mpka ukimbie mwanamke hawezi kuwekeza kwenye udongo usionarutuba msidhani hawa viumbe wajinga
 
Sasa kisa mvukana anahela na hana direction kwa muda alio kutokea ndo ufanye capital?

Nimeongelea swala la kuviziana hapa, na wewe naona ndo unaliendekeza
 
 
Mapenzi/ndoa zitawatesa mpaka pale mtakapoacha kumvika mwanamke Pete kwa KUPIGA MAGOTI
Yes ni either yeye apige goti na awe kainvest muda na energy kwenye uhusiano. Lasivyo unakuwa umesha trade value yako kwa mtu asiye kujali na kuona kama unajipendekeza kwake
 
Wanawake na mali, shetani mwenyewe ana subiri πŸ˜‚πŸ€£
Tofautisha I Gold diggers ambao ni wanawake wazuri wanaotumia u star kusaka wanaume mastar na hakuna kitu wanabring to the table, na yule mwanamke ambae ana invest kila kitu kwenye familia na uhusiano
 
Tofautisha I Gold diggers ambao ni wanawake wazuri wanaotumia u star kusaka wanaume mastar na hakuna kitu wanabring to the table, na yule mwanamke ambae ana invest kila kitu kwenye familia na uhusiano
Kweli
 
Unachokitaka hakiwezekani mdogo wangu.
Kusaidiana kupo ila main provider utabaki kuwa wewe mwanaume.

Anayereceive 100% toka kwa ke ni kibenten na wewe u benten huutaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…