Ni kweli dada, lakini na nyie mmekuwa vichwa ngumu sana siku hizi mnataka huduma, na bado hapo hapo kisa mnapewwa huduma mnaona kisa hamjachangia hamna cha kupoteza na kutupilia mbali, ila mngekuwa na nyie mnajitoa kama tunavyojitoa huenda akili zingewajiaUnachokitaka hakiwezekani mdogo wangu.
Kusaidiana kupo ila main provider utabaki kuwa wewe mwanaume.
Anayereceive 100% toka kwa ke ni kibenten na wewe u benten huutaki.
Binafs nadhani anayehudumiwa anajua ana cha kupoteza.Sina kazi sina nini nakutegemea kwa kila kitu naanzaje kufanya ujinga.Ni kweli dada, lakini na nyie mmekuwa vichwa ngumu sana siku hizi mnataka huduma, na bado hapo hapo kisa mnapewwa huduma mnaona kisa hamjachangia hamna cha kupoteza na kutupilia mbali, ila mngekuwa na nyie mnajitoa kama tunavyojitoa huenda akili zingewajia
Uko on point dada.. 😂Binafs nadhani anayehudumiwa anajua ana cha kupoteza.Sina kazi sina nini nakutegemea kwa kila kitu naanzaje kufanya ujinga.
Mwanamke akijimudu na akawa hana akili,ukizingua kidogo huyooo anasepa unasikia tu why stressed by a dog while I can make it by my own.Iam a supa woman I don't loose men,men loose me😃(Kama nimekosea hicho kizungu kausha dogo)