hao ndo wanaume wa darView attachment 656961[emoji23] [emoji23]
Kwa nini wanaume wa mikoani wanapenda kuvaa misurupweta... Wananuka shombo na mijashoAman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Iv kwanini wanaume wa dar huwa wanapenda kuvaa nguo za kubana mapaja kama za dada zao wana tatizo gan
Kwanini wanapenda sana kuongea maneno ya kike kike kwa mfano neno JAMAN wao husema JOMONIII wana tatizo gan
Nawasilisha
LONDON BOY
Huu ni uongoHizo nguo za kubana arusha tulikuwa ndo tunavaa sasa enzi hizo mmekuja kuvamia nyie mmepitiliza mnavaa nguo za dada zenu kabisa tumewaachia mgaregare
Kweli chaliangu..chini raba kuubwa..fasheni imepokwa na makaka poa..Hizo nguo za kubana arusha tulikuwa ndo tunavaa sasa enzi hizo mmekuja kuvamia nyie mmepitiliza mnavaa nguo za dada zenu kabisa tumewaachia mgaregare
Naam naam..chek walivyobana izo indehao ndo wanaume wa dar
Wamejaaliwa wowowo.View attachment 656961[emoji23] [emoji23]