Kwanini wanaume wa dar wanapenda sana kuvaa nguo za kubana kama za dada zao

Kwanini wanaume wa dar wanapenda sana kuvaa nguo za kubana kama za dada zao

...Wanajifanya wako busy hata hela empty kubana ma..ko ndiyo kazi walobakiza na mipango miiiiingi wanajifanya wazee wa kujua fursa kumbe hakuna kila kitu
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Iv kwanini wanaume wa dar huwa wanapenda kuvaa nguo za kubana mapaja kama za dada zao wana tatizo gan

Kwanini wanapenda sana kuongea maneno ya kike kike kwa mfano neno JAMAN wao husema JOMONIII wana tatizo gan

Nawasilisha

LONDON BOY
Kwa nini wanaume wa mikoani wanapenda kuvaa misurupweta... Wananuka shombo na mijasho
 
Ni hali ya kutokujua tu mambo yakuiga hayo, nguo za kubana nikwajiri yautamblisho ushoga huko ulaya lakini hapa eti yan shida
 
Watu tunaiga mambo bila kujua chimbuko lake nguo za kubana kwa wanaume niutanblisho wa ushoga kwa nchi za ulaya lakini hapa Tz eti fashion
 
Hizo nguo za kubana arusha tulikuwa ndo tunavaa sasa enzi hizo mmekuja kuvamia nyie mmepitiliza mnavaa nguo za dada zenu kabisa tumewaachia mgaregare
Kweli chaliangu..chini raba kuubwa..fasheni imepokwa na makaka poa..
 
Back
Top Bottom