Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
hv kwanini wanaume mnaotutongoza humu mnataka tukianza mahusiano tujitoe humu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi siwezi msaliti mtu wangu lakiniSi wawindaji, wanajua wawindaji wenzie watakuwinda
sitafuti mume tu kuna mambo mengi humu jomoniSasa humu si ulikuwa unatafuta mume sasa ukipata ubaki kufanya nini au bado unamatamanio ehee!!
huku hakupo kiivo jomoni .Unamuopoa Mbuzi kutoka zizi la fisi, alafu unamuambia tena akapige misele karibu na hapo?
huku mtu anachukuliwaje kwani?Abiria chunga mzigo wako.
hv kwanini wanaume mnaotutongoza humu mnataka tukianza mahusiano tujitoe humu?
ndio aisee .Umepata mwanaume kakwambia ujitoe JF?
Mh!?mimi siwezi msaliti mtu wangu lakini
kupeana adhabu tuHahaha wanajua wanachokifanya ndo maana wanawaambia hivyo
Maharamia wengi Mkuu, Ni kheri akajitoa kabisa humu ili usalama uwepo.huku mtu anachukuliwaje kwani?
sana .ni handsome balaa sio wa sport sport .yupo cool japo nina machale mi sipendi kudate wanaume wazuri wazuri.sidhani kama hana mtu yule jamaaHongera sana.
Unampenda lakini?