Kwanini wanaume wa JF hamtaki tukae huku?

Kwanini wanaume wa JF hamtaki tukae huku?

how dearest?
I want you to make me feel a Better man ,, I want you to be a woman nayeweza kujiproud of kua naye .
I want you to be the really sign of my love .
Nakuitaji uniwakilishe .,naitaji unifanye nijisikie mwanamme mweny kujiamin zaidi na a comfortable one .

Sasa kwann usibadilike kwa ajili yangu ?? Ukimpenda mtu lazima ubadilike kwa ajili yake .... Lengo lakukuambia achana na JF nisababu nataka kukushape uwe mwanamke unayenifaa zaidi .

That's my simple rule.
 
Nimesema "mke mzuri" ni sifa nimekupa, ningesema "Mkewangu mzuri" hapo ndio ingekuwa nimekuleta upande wangu sawa mkuu.
hv unamuitaje mtu mke wakati hata humjui ? sidanganyiki mkuu.na ukitongoza kwa swaga hizo za kutuita mke mke ndo hutupati.mke ni safari
 
Back
Top Bottom