Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
- #81
user not found[emoji15] [emoji15]
Retry
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
user not found[emoji15] [emoji15]
Retry
Ila nini?ni kweli .ila
Kukaaa kwako JF kwananmna Moja kunaweza changia usiwe a good partner kwangu.kwani kukaa kwangu jf unadhani itanifanya nisiwe patner mzuri? if yes why?
bado .ila sidhani kama kuna kibamia pale ndo napeleleza kwanza
May be internet connection error, make sure that you connect the internetuser not found
Well ,,sisi wanaume niwatu ambao tumejawa nawivu sana even ktk mambo madogo madogo ,ambayo nyinyi wanawake mnayachukulia simpo.Sasa kama anauwezo wa kukumake ufeel better man na mengine mengi kuna haja gani ya kumstopisha jf ilihali hii ndo njia iliyowakutanisha?
We umejuaje hakuna kibamia?Ahahahaaaaaaaa daaaaah hahahaaaa
Pale hakuna kibamia aisee!
Okay nimekuelewa bossWell ,,sisi wanaume niwatu ambao tumejawa nawivu sana even ktk mambo madogo madogo ,ambayo nyinyi wanawake mnayachukulia simpo.
.tumekutana JF ,, kila mmoja anaiman yake juu ya JF ,, tumeamua kua wapenzi .
Yes unanifanya nifeel a better man ,, lkn hunifanyi Nijihisi so Respected . kwan nani amekuambia sisi wanaume tunaangalia mapenzi tuu??? Mwanamme anataka HESHIMA ,,KTK HIYO HESHIMA UNAYOMPA ANAJIONA MWENYE KUOGOPEKA NA WANAUME WENZAKE.
sasa unasema unanipenda ..lkn ukichat humu Mara oohhhhhh Unamuita MTU. Baby ... My... Naviluga vyenu ,,, ukiulizwa unaanza ooohhhh yule jaman si niPutin tuuu jaman kwan humjui ???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Wenda ndio mnataniana ,,lkn Mimi Vladimirovich kutokana namazingira tulokutana ,, nitabaki kua wamwisho kuamin Putin ni mshikaji wako tu km walivyo wadada wenzako.
ahaaaa wewe unapajua?Ahahahaaaaaaaa daaaaah hahahaaaa
Pale hakuna kibamia aisee!
We umejuaje hakuna kibamia?
Au we ndo muhusika mwenyewe nini
WeweMimi sihusiki kwa lolote.
Nimehisi tu.
hv unadhani nikiwa na mpenzi humu naweza kuchangia vitu ovyoovyo? kwanza huo muda nitautoa wapi? wengine tupo huku kwa sababu ya upweke tu kupoteza mudaKukaaa kwako JF kwananmna Moja kunaweza changia usiwe a good partner kwangu.
Kivipi ,, Michango unayotoa humu !!!!! Haiwezekan niendelee kukuona wamaana ,, kama utakua MTU wakushabikia ujinga like mihogo na vibamia ,,, kutaja taja maneno yakipuuzi km Papuchi ,, oohhh papuchi nn ,, ujue kuna maneno fulan humu mjayatumia ,, Kwa mwanamme muoaji huwa tunawaona km wazenguaji TUUUU ,, ila kwa wanaume wapigaji huwa wanawashabakia sana nakuwaunga mkono.
Kwaufupi ,,,ukiona mwanamme hataki uwe JF nisababu hataki uendelee kuwa vile ,, kwanza anaanza kukufanya ujue majukum yako .... nakama ataamua kukuacha humu basi huwa kuna mambo lazima akuambie kua Hataki ayaone ukiyazungumzia au kuyashabakia .
Ndio maana humu JF ,, kuna wanadada wao kila siku wanaongea mambo muhimu sana nahuwezi kuta anashabikia sijui vibamia sijui hogo .
Lkn pia wamo ambao kuongelea izo mambo kwa wanaona kawaida Lkn kiukweli ndo huwa zinawaharibia credit nakukatisha tamaa waoaji.
Weee nimwanamke unaanza kusema humu ** duuuhhhhhh nmejikuta kisimi kinanisimama au daaahhh mpaka nyege zimenishika *** .
Sasa kwa wanaume makin,,tayar hujafuzu ,,ila kwa wanaume wapigaji ,, atakuunga mkono,, Mara atakuombamo mchezo ,,anapiga show ..mchezo kwisha ,,kesho unakuja kuanzisha Uzi unalia lia humu ...
NAHIVO NDIVO WENGI MLIVYOLIWA NAVIJANA WAHUMU KIUJANJA UJANJA .
nadhan umenielewa mama yangu !!.
Sawa sawa mkuu.Okay nimekuelewa boss
ahaaaa wewe unapajua?
Wewe
Dah..umepata na mahusiano mangapi humu?[emoji87]hv kwanini wanaume mnaotutongoza humu mnataka tukianza mahusiano tujitoe humu?
HahahahajaWe usitoke humu mwaya, mwambie atoke yeye
mimi napenda kibamia so sio issue . the way alivo handsome ni kama hatuendani hivi.halafu ni mjanja mjanja mimi mshamba yaani acha tu majangaSipajui mimi.
Ila hakuna kibamia pale wewe!
Kwani jamaa ni kabila gani?
Teh teh teh.
Miss natafuta, nataman ungekuaga mshikaji Wangu wakubadilishana mawazo ," wala usingesema hayo ".hv unadhani nikiwa na mpenzi humu naweza kuchangia vitu ovyoovyo? kwanza huo muda nitautoa wapi? wengine tupo huku kwa sababu ya upweke tu kupoteza muda