Kwanini wanaume wa JF hamtaki tukae huku?

Kwanini wanaume wa JF hamtaki tukae huku?

mimi napenda kibamia so sio issue . the way alivo handsome ni kama hatuendani hivi.halafu ni mjanja mjanja mimi mshamba yaani acha tu majanga

Oh okay.

Basi ni bora mkapinga tu urafiki wa kawaida kuliko kuwa wapenzi.

Maana kutoendana si kuzuri hata kidogo aisee.
 
Ni hivi,

Unaweza kuamua kuweka zulia dunia nzima ili mguu wako usikanyage mchanga.

Au, unaweza kuamua kuvaa kiatu tu.

Sasa katika mawili hayo utachagua lipi na kwa nini?

Ukipata jibu hapo, falsafa yake inahusika katika kumruhusu au kutomruhusu mwenzako aje JF.
 
sana .ni handsome balaa sio wa sport sport .yupo cool japo nina machale mi sipendi kudate wanaume wazuri wazuri.sidhani kama hana mtu yule jamaa

Muweke hadharani ili watu wote wajue kuwa tayari ni mali za watu, ila nahisi itakuwa ni Mshana Jr
 
hv unadhani nikiwa na mpenzi humu naweza kuchangia vitu ovyoovyo? kwanza huo muda nitautoa wapi? wengine tupo huku kwa sababu ya upweke tu kupoteza muda
Labda kwa nyongeza ....In all you do or talk about no matter here in JF unaitwa Miss Natafuta au miss nani .....

Nitakutongoza huku najua you are the really woman ambaye nitakutana naww lkn kichwan nikijua Umwanamke Wa aina gani .

Sasa nitakapojaribu kukushape , ili nijaribu kuamin labda haupo vile ambayo you used to be inJF , namm nakubadilisha kwalengo lakunifaaa.

Usiponielewa ,Noway out dear ,,lazima nile mzigo kisha nisepe tuuuuu..

Take it ,,, mwanamme anapenda kua namtu ambaye watu watamsifu maana tunapenda sifa ..... Sasa wew hum JF kila MTU anakuona muhuni kwamaneno ako though SIO MUHUN ila maneno yako yanawaaminisha ivo ,, IVI UNADHAN MWANAMME GANI ,,ATAAMUA KUKUWEKA WAZ KUA FULAN NDO MPENZI WANGU MKE WANGU MTARAJIWA ????????. ZAIDI YAHAPO ATAJARIBU KUTAFUTA SULUHISHO EITHER UTOKE JF AU UJE NA ID MPYA.

tunarudi kule kule ,, Ukifanyacho Leo ,, ukisemacho Leo ,, ndicho kitakachokulipa kesho.

Da de di do Du.
 
Back
Top Bottom