Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Umetokea wapi nawewe
Kwa Mromboo....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetokea wapi nawewe
Sasa kama umenyweshwa sumu kwanini usiliwe....kwanza mtu una mpenzi uje ugegedwwe tena huku kweli?
Wewe tuShoo zetu moto wa kuotea mbali!
Nani na nani unawajua wanaokwangua ATM?
Ayaaa unataka mwanaume laini kuliko wewe??Mwanaume mbaya nyege haziji
True mwamba, naona unawakilisha vyema maoni ya vidume wenzakoLabda kwa nyongeza ....In all you do or talk about no matter here in JF unaitwa Miss Natafuta au miss nani .....
Nitakutongoza huku najua you are the really woman ambaye nitakutana naww lkn kichwan nikijua Umwanamke Wa aina gani .
Sasa nitakapojaribu kukushape , ili nijaribu kuamin labda haupo vile ambayo you used to be inJF , namm nakubadilisha kwalengo lakunifaaa.
Usiponielewa ,Noway out dear ,,lazima nile mzigo kisha nisepe tuuuuu..
Take it ,,, mwanamme anapenda kua namtu ambaye watu watamsifu maana tunapenda sifa ..... Sasa wew hum JF kila MTU anakuona muhuni kwamaneno ako though SIO MUHUN ila maneno yako yanawaaminisha ivo ,, IVI UNADHAN MWANAMME GANI ,,ATAAMUA KUKUWEKA WAZ KUA FULAN NDO MPENZI WANGU MKE WANGU MTARAJIWA ????????. ZAIDI YAHAPO ATAJARIBU KUTAFUTA SULUHISHO EITHER UTOKE JF AU UJE NA ID MPYA.
tunarudi kule kule ,, Ukifanyacho Leo ,, ukisemacho Leo ,, ndicho kitakachokulipa kesho.
Da de di do Du.
Thats why I love youmimi siwezi msaliti mtu wangu lakini
Heeee!?umu kumbe kunakutongozana ngoja nianze kutafuta demu sasa namiehv kwanini wanaume mnaotutongoza humu mnataka tukianza mahusiano tujitoe humu?
Haaaaaaaa pacha pacha ,,nambie mkuuuuu.True mwamba, naona unawakilisha vyema maoni ya vidume wenzako
Mungu wetu sote ndugu, vipi kwa upande wako? Naona unatoa somo murua kwa dada zetu hapoHaaaaaaaa pacha pacha ,,nambie mkuuuuu.
Eeehhh najaribu kuwaelezea waendane nanyakat ...though wana ubishi usokua nafaida.Mungu wetu sote ndugu, vipi kwa upande wako? Naona unatoa somo murua kwa dada zetu hapo
Nzagamba I love youKwa Mromboo....
Kwani kinaisha...!!!?nitakuwa na mtu halafu niendelee kukitembeza huku kweli?
Kumbe ndivyo ulivyo basi usilaumuahaaaa i dont care meen. nishaumizwa sana yaani sina gata nguvu ya kuinvest kiviile kwenye mapenzi ujue
unafungia wapi mwaka?Eeehhh najaribu kuwaelezea waendane nanyakat ...though wana ubishi usokua nafaida.
Kwangu ,mambo nimurua ndugu yangu ,,, mwaka ndo huoooo unaishia , tunataka kufunga mahesabu ya mwaka !!.
Daaahhhh mwaka naufungia jiji la miamba mkuuuunafungia wapi mwaka?
Umeisha mpata eeeee?hv kwanini wanaume mnaotutongoza humu mnataka tukianza mahusiano tujitoe humu?