Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera Missndio aisee .
Mimi aniambie jambo linalomkera nilijirekebishe Ilo swala LA kusema atanitoa sio kweli...atanipa dhambi tu ya kutafuta ki ID kingine asikijue tu cha siri.hv kwanini wanaume mnaotutongoza humu mnataka tukianza mahusiano tujitoe humu?
Miss natafuta,njoo nikupe pumziko la milele mtoto mzur,sana .ni handsome balaa sio wa sport sport .yupo cool japo nina machale mi sipendi kudate wanaume wazuri wazuri.sidhani kama hana mtu yule jamaa
hakuniingiza yeye ..na bila hapa asingenipata.Avumilie tu
Haha...kama kawaida yako, hoja kujibiwa kwa hoja!Si wawindaji, wanajua wawindaji wenzie watakuwinda
Usha geuzwa ka'chapati tayari....hv kwanini wanaume mnaotutongoza humu mnataka tukianza mahusiano tujitoe humu?
#😛😛😛😛Mimi aniambie jambo linalomkera nilijirekebishe Ilo swala LA kusema atanitoa sio kweli...atanipa dhambi tu ya kutafuta ki ID kingine asikijue tu cha siri.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Unamuopoa Mbuzi kutoka zizi la fisi, alafu unamuambia tena akapige misele karibu na hapo?
Hahahah Mkuu hela ya chips tena kha!Sasa kama yeye alikupata humu kwa hela ya chips, wengine watashindwaje?
Kwa sababu yeye amekupatia humu ukiwa hata hujamuona la sura kakehv kwanini wanaume mnaotutongoza humu mnataka tukianza mahusiano tujitoe humu?
Simple math,we mchoyo na technology.I want you to make me feel a Better man ,, I want you to be a woman nayeweza kujiproud of kua naye .
I want you to be the really sign of my love .
Nakuitaji uniwakilishe .,naitaji unifanye nijisikie mwanamme mweny kujiamin zaidi na a comfortable one .
Sasa kwann usibadilike kwa ajili yangu ?? Ukimpenda mtu lazima ubadilike kwa ajili yake .... Lengo lakukuambia achana na JF nisababu nataka kukushape uwe mwanamke unayenifaa zaidi .
That's my simple rule.
humu wapihv kwanini wanaume mnaotutongoza humu mnataka tukianza mahusiano tujitoe humu?
HahahaSi wawindaji, wanajua wawindaji wenzie watakuwinda