Kwanini wanaume wa siku hizi pulling imepungua sana?

kritika

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
410
Reaction score
1,156
Wanaume wa siku hizi hawana shughuli kabisa pulling imekua ndogo japo wanajitahidi kutumia viungo vya kila aina lakini bado yaliyomo hamna kitu.

Wanaume wa siku hata gym sijui wanaenda kufanya nini,pumzi zimekua ndogo wanaishia katikati wamekua wa ovyo sana.
Wanaume jitahidini jaman mnatia aibu mnashindwa hadi na sungura[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Basi mpe sungura..
 
Unamaanisha wa Dar bila shaka, usiombe ufike mikoni UTAPATA RAHA SANA
 

Unaowapa hawana pumzi..nipe mimi[emoji39]
 
Wewe umejuaje walikutest nin?
 
Swali; Alikupa ela?

Jibu; ulikopwa.
 
Wanaume pekee wanaowaza ngono muda wote ni wa mikoani kwakua hawana umeme hivyo huingia kulala mapema. Ile saa moja hadi kupata usingizi mtaongea mpango wa kuhamia Dar kwa nusu saa kisha inafuata ngono.
 
sio wote, wengine tunamapafu hadi tunajiogopa, usiombe kukutwa.
 
pole sana na kuitembeza kote bado unaishia kukutana na goli moja chali
 
Tatizo ni wewe una nyota ya kuchagua wanaume vimeo.
 
Sasa kama ulikuwa danga.. enzi izo unategemea mwanaume mmoja atakuweza kwelii[emoji41][emoji41]
 
Wewe unakutana na wala chipsi kwa juice za Azam.
 
Nakuja PM tuyajenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…