Kwanini wanaume wa siku hizi pulling imepungua sana?

Hiyo research yako umeifanya kwa wanaume Wangapi?
 
Hadi raha ila waliokua wanawaza moo ?
Wanaume pekee wanaowaza ngono muda wote ni wa mikoani kwakua hawana umeme hivyo huingia kulala mapema. Ile saa moja hadi kupata usingizi mtaongea mpango wa kuhamia Dar kwa nusu saa kisha inafuata ngono.
 
Wanaume kuna ujumbe wenu jamani

Dada akee ebu waite huko ulipo cc Hajar
Hahahaaaa. Ngoja niwaite Dada maana watakuwa wamepita kimya kimya na aliyeweza kuja basi kamwaga povu la kutosha kufulia mablanketi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wanaume Mkuje jamaani. πŸ™ˆπŸ™ˆ
 
Hahahaaaa. Ngoja niwaite Dada maana watakuwa wamepita kimya kimya na aliyeweza kuja basi kamwaga povu la kutosha kufulia mablanketi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wanaume Mkuje jamaani. [emoji85][emoji85]
Dada
Ulichelewa walikuja na mapovu yao mengi
 
Umeshapita kwenye uchangudoa,umebamizwa na mtu mpaka saba kwa pamoja,mmoja anweza kukutosgeleza?
Munatumika sana halafu adhabu mutupe sisi.
 
Kabla hujamthimini mwenzio, jitathimini mwenyewe, isije kuwa mwili wako ndio chanzo cha jamaa kuishiwa pumzi maana wengine nyie kila dakika unayopiga na hali yako inabadilika tu, mwili unakuwa kama dampo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…