Kwanini wanaume wafupi tunaonewa sana?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
If unaishi kwa kutaka ukubaliwe na watu , jua utakufa siku hio hio watakayokukataa.

Jikubali.
 
Wat a gwan sis jo!!
Kampenzi kangu kananiambiaga kananipenda kwa kuwa mi mfupi sa sijui akikutana na mfupi zaidi yangu Nitaachwa?[emoji24][emoji24]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tabu ni pale mtu mfupi, anapomwambia mtu mrefu kuwa nywele zake zinanukia,
Mtu mrefu atabaki anajiuliza ni nywele gani hizi?😕😕
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…