Kwanini wanaume wafupi tunaonewa sana?

Kwanini wanaume wafupi tunaonewa sana?

Dunia imebadilika sana.Zamani mijitu kama hii ilikuwa inakaa pembeni mwa mfalme ikilinda.Sasa chagua steve nyerere ama huyu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20190926-095855~2.jpeg
 
Every one is tall, every one is short, it only depends na nani umesimama nae.
Pia hao wafupi ndio huongoza kwa kupendwa na kudumu katika ndoa zao.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu ya ubishi na ujuaji wenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Thubutuuuuu!! Ninaye huyo anaweza kukuaminisha gari ni treni na ukaamini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣 vipi lakini mambo si anapiga fresh tu?
 
Back
Top Bottom