Tunazungunzia kupima HIV mfano naona kama sio relevant mkuu..
Unafikiri kwenye hizo nyumba za ibada wanawake wanakuwepo kwakuwa wameathirika..hapana.wanawake tunamambo mengi mnoo yanayotusumbua mkuu..ndoa(mume),familia tulizonazo,familia za ukweni,magonjwa ya kurith,matatizo ya kurithi katika vizazi vyetu Na unakuta yote hayo anayoyapitia kiumbe mwanamke mumewe haonyeshi ushirikiano.mwisho wa siku mwanamke huyo anaona sehemu salama yakukimbilia ni katika nyumba za ibada haijalishi ni msikitini ama kanisani ambapo atapata faraja.
Mwanamke anapenda asikilizwe Na mtu Ili ashushe mzigo alioubeba.
Najaribu kuconnect aya yako ya mwisho Na uzi,nashindwa.havina connection kabisa