Pamoja na mambo mengine, Watanzania wengi hawana utaratibu wa kupima afya, mara nyingi hupima pindi wanapojihisi wagonjwa. Hivyo, hali hii huchangia pia kutokuwa na utayari pale inapohitajika kupima afya kwa lazima ilhali mtu hajihisi mgonjwa. Zingatia, pamoja na mambo mengine though!Hii issue nimekumbana nayo pia nimeiona sana kwa marafiki na jamii inayonizunguka wengi wakilalamikia suala la wanaume kuwa wabishi sana na waoga mno linapokuja suala la kucheki afya,ni nini hupelekea hii hali?