Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,311
- 1,297
Mi siogopi, twende zetu tukapime pamoja.Hii issue nimekumbana nayo pia nimeiona sana kwa marafiki na jamii inayonizunguka wengi wakilalamikia suala la wanaume kuwa wabishi sana na waoga mno linapokuja suala la kucheki afya,ni nini hupelekea hii hali?
Trinity ni me kumbeMi siogopi, twende zetu tukapime pamoja.
Jina Trinity maana yake utatu mtakatifu. Ke au Me unaweza ukalitumia.Trinity ni me kumbe
Anhaa sawa nimeelewaJina Trinity maana yake utatu mtakatifu. Ke au Me unaweza ukalitumia.
Mimi ni me bwana.!
umbee..nilikuwa najuaga ni mwanaumeJina Trinity maana yake utatu mtakatifu. Ke au Me unaweza ukalitumia.
Mimi ni me bwana.!
Sidhani sana, ila ninacho kifahamu mwanaume huwa ni ngumu kushawishika haraka kwa jambo lolote liwe zuri au baya.Nafikiri kwao kutembelea rim ni kitu cha kawaida(wengi)
Punguza kwanza michepuko ..ndo tuje kudiscussHii issue nimekumbana nayo pia nimeiona sana kwa marafiki na jamii inayonizunguka wengi wakilalamikia suala la wanaume kuwa wabishi sana na waoga mno linapokuja suala la kucheki afya,ni nini hupelekea hii hali?
Tunazungunzia kupima HIV mfano naona kama sio relevant mkuu..Sidhani sana, ila ninacho kifahamu mwanaume huwa ni ngumu kushawishika haraka kwa jambo lolote liwe zuri au baya.
Mfano: umefika umehubiri mtaani, ukaita watu kuslimu au kuokoka utawapata wanawake wengi kuliko wanaume.
Unaweza ukawapata wanaume 5 wanawake 20.
Baada ya mwezi mmoja kanisani au msikitini ukabaki na wanaume 4 kati ya wale 5 na wanawake 2 kati ya 20.
Wengine wamesonga mbele kwenye ushawishi zaidi.!!!
Sina wala michepuko mimi soma post vizuri huelewiPunguza kwanza michepuko ..ndo tuje kudiscuss
Nilichikuwa namaanisha mwanamke ni rahisi kushawishika kwa jambo lolote.Tunazungunzia kupima HIV mfano naona kama sio relevant mkuu..
Unafikiri kwenye hizo nyumba za ibada wanawake wanakuwepo kwakuwa wameathirika..hapana.wanawake tunamambo mengi mnoo yanayotusumbua mkuu..ndoa(mume),familia tulizonazo,familia za ukweni,magonjwa ya kurith,matatizo ya kurithi katika vizazi vyetu Na unakuta yote hayo anayoyapitia kiumbe mwanamke mumewe haonyeshi ushirikiano.mwisho wa siku mwanamke huyo anaona sehemu salama yakukimbilia ni katika nyumba za ibada haijalishi ni msikitini ama kanisani ambapo atapata faraja.
Mwanamke anapenda asikilizwe Na mtu Ili ashushe mzigo alioubeba.
Najaribu kuconnect aya yako ya mwisho Na uzi,nashindwa.havina connection kabisa
Hahaha ndo zao utaskia me nimepima tu wiki ilopita hapoUzi bila picha inayoonesha ubishi wa wanaume kwenye kupima haunogi. View attachment 2077779
Mara napima kila week mimi hahahahUzi bila picha inayoonesha ubishi wa wanaume kwenye kupima haunogi. View attachment 2077779
Utasikia "UKIMWI nitolee wapi mimi''.Hahaha ndo zao utaskia me nimepima tu wiki ilopita hapo
Kuna hofu fulani inasumbua sana [emoji23][emoji23]Utasikia "UKIMWI nitolee wapi mimi''.
Hahahah yaaan noma sana hizo zote huwa sababu za kukwepaUtasikia "UKIMWI nitolee wapi mimi''.