Kwanini wanaume wamekua wadhaifu sana kitandani?

amanda cute

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2016
Posts
244
Reaction score
456
Vilio vya mashostee vinazidi sana. Kikweli hata mimi imefika mahali naamini kuwa wanaume wale wa shoka wanapungua. Sijui ni stress za maisha au laa ila kiukweli ni wanaume wachache sana mkienda kwenye majambozi akiwa mkavu hajaboost na pombe au dawa za kuongeza nguvu kuunganisha bao 3 imekua ngumu sana.

Unakuta ndiyo kwanza stim zimepanda yeye akiingia tuu huyo kamaliza na uume unalegea kama mlenda. Kiukweli mnatuchafua sana jitahidini kusoma mchezo na kuturidhisha basi punguzeni kula chipsy mayai, kule vyakula vya asili pia inawacost sana maana kutwa kushinda mitandaoni simu imejaa picha za ponograff mnaishia kujichua tuu hili nalo ni tatizo linaadhiri kisaikolojia pia uume unakosa kuwa strong.

Acheni kutuchafua jamani.
 
Tatizo mnapenda masharobaro.wabeba zege tupo
 
Kama hujitumi je
 

Naomba ulinganishe huyu mwanaume.....[emoji115]

Alafu umuangalie na huyu..[emoji115]

Naomba nisikujibu kwamba yupi ni dhaifu na goigoi kuliko mwingine...
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Toka lini ukashindana na ulikotokea?

nikizoesha tatu mfululizo utaanza kudai nne, nikikuzoesha nne utadai tano, sasa ya nini kujitesa kote huko. mwanamke hakomeshwi
 
Uunganishiwe 3 unampa nini maisha yamegeuka watu tunaondoa uchuvu tu basi tupate wepesi wa kuwaza maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…