Kwanini wanaume wamekua wadhaifu sana kitandani?

Kwanini wanaume wamekua wadhaifu sana kitandani?

teh teh
mkuje wanaume mjibu jamani
Mpendwa kuridhishana inategemea mazingira, usafi na hali ya afya. Lakn pia na suport tosha toka kwa huyo nyapu wako, lakn nae akiwa kifo cha mende, ukimtomasha anatoa vipepsi unategemea nn? Zaidi pia, ni muhimu mwanamke awe mbunifu ajue mahanjumati ya 6×6, jamani hata mguno mdogo tu hana utadhani una baunsa chumbani, halafu eti hatoshelezwi? Jitahdini nanyi angalau basi ili tutoke droo not otherwise.
 
Wanaume wenyewe wa siku hizi wanywa pombe kali aisee kazi ipo
 
Sema wanawake nanyie mnamambo sana.

Mwanaume unataka akugegede mpaka upagawe kisha baada ya hapo upewe na hela.

Kiufupi kama utanilipa nitakupa raha za kutosha, sio unataka nikupe uroda alafu nikupe na hela, WTF is that!?

Chagua moja, nijiridhishe nisepe na ukitaka matumizi nikupe, au nikuridhishe na unihudumie.

In short sisi wanaume tunawatumia kujiburudisha wala hatuwazi kuwaburudisha nyie kwakuwa tunawatunza sisi.

Nisawa sawa na kuwa na mbwa, unamhudumia ili akulinde.
Wewe utakua ni mario
 
Yaani uombe hela upewe usubiri na kuridhishwa?, kama mtaendelea na tabia zenu za mizinga bila shaka wanaume watakuwa wanafanya juhudi kujiridhisha wao sio kuwaridhisha ninyi maana mmesharidhika na hela mnazopewa
 
Vilio vya mashostee vinazidi sana. Kikweli hata mimi imefika mahali naamini kuwa wanaume wale wa shoka wanapungua. Sijui ni stress za maisha au laa ila kiukweli ni wanaume wachache sana mkienda kwenye majambozi akiwa mkavu hajaboost na pombe au dawa za kuongeza nguvu kuunganisha bao 3 imekua ngumu sana.

Unakuta ndiyo kwanza stim zimepanda yeye akiingia tuu huyo kamaliza na uume unalegea kama mlenda. Kiukweli mnatuchafua sana jitahidini kusoma mchezo na kuturidhisha basi punguzeni kula chipsy mayai, kule vyakula vya asili pia inawacost sana maana kutwa kushinda mitandaoni simu imejaa picha za ponograff mnaishia kujichua tuu hili nalo ni tatizo linaadhiri kisaikolojia pia uume unakosa kuwa strong.

Acheni kutuchafua jamani.
Naomba kufahamu vyakula asili ni vipi..
 
teh teh
mkuje wanaume mjibu jamani
Shunie huyo ni mwanamke au mwanamme ? Mi Sidhani kwamba mwanamke kupigwa bao nyingi ndo kuridhika.... Mi nnachojua kumwandaa mwanamke vya kutosha na baada ya hapo kurefusha safari... Mpaka Abiria aombe mwenyewe kushuka... Aseme mwenyewe 'nimefika naomba kushuka' Hapo "anapewa mizigo yake" anafunguliwa mlango na anashuka.
 
😀😀!!!!hahahaaa hapo mwanaume wa mikoani hajaambulia kitu.
Wanaume wa mikoani hatuna zero, sie vyeti halali eti, hujaona Muhimbili waliofoji vyeti, hao ni wa mikoani? Tuombe msamaha eti.
 
Ya kwako imelepweta ndo maana wanaume wanachoka mapema.paka ndimu angalau
 
Back
Top Bottom