Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
Nimekusoma mkuu; LOUD and CLEAR:biggrin::biggrin::biggrin:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna na mbinu ya kumtxt bibie kumwambia umepata tonsilitis au vidonda vya koo ukiwa njiani, ukifika home unajifanyaga ukiongea unaumia! hii inakuwa excuse ya kutokuulizwa maswali zembe for day or two. akishikilia kukuuliza unamwambia "honey jamani mbona mkatili lakini? huku bakteria wanalimaliza koo na wewe unanimaliza kisaikolojia,unajua honey mimi nakupenda kuliko nyerere anavyopenda AZIMIO LA ARUSHA"
N:B (dont try this if you are not ekspiriensed kwenye udanganyaji)

...au unamuangushia bonge la kilio, atakubembeleza mwenyewe!
hehehe tunasaidiana mbinu za kuimarisha ndoa kidogo. majaribu yamekuwa mengi .haaa balaa lingine hili...wewe klorokwini, nimecheka mpaka bac...
ivi kumbe huwa tunadangwanywa sana eh?...tatizo hata mkijibiwa uongo au ukweli maswali hayaishi! Arrghhh, wengine sie mwenye haki ya kuniuliza "ulikuwa wapi?" na kujibiwa ukweli ni mama yangu mzazi tu, full stop.
ivi kumbe huwa tunadangwanywa sana eh?
Wanawake wengi wanajua kabisa wanapodanganywa lakini kwa kutumia busara zao hujifanya wajinga na kuacha lipite.
Naona mnapeana Mbinu.