Kwanini Wanaume wanapofanikiwa kiuchumi huwatelekeza wenza wao ambao walianzia maisha ya dhiki

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629
Kwanini wanawake wenye tabia njema za kujenga familia imara huwa wanatelekezwa na watoto baada ya mwanaume kufanikiwa kusimama vizuri kiuchumi?

Kwanini mwanaume anakuwa mstaarabu sana kama hana fedha lakini akifanikiwa anageuka dikteta,anakuwa mkali kupitiliza,anakuwa msaliti wa mara kwa mara,analeta mahawara kwenye kitanda ambacho analala na mama watoto wake wala hajali chochote kuhusu familia.

Kuna kitu muhimu sana wanawake wazuri wenye nia njema za kujenga familia huwa wanajichanganya

Unapokutana na Mwanamke ambaye huonyesha tabia zifuatazo anataka kuwa kichwa cha familia,anataka kupanga kila kitu ndani ya familia kifanyike vile ambavyo amepanga yeye,kuona Mwanamke anamgombeza na kumpelekesha mwanaume mara kwa mara akiona mwanaume anafanya makosa,kuona Mwanamke anakuwa na bidii kubwa sana katika kutafuta fedha wakati huohuo anatumia nguvu nyingi sana kumhamasisha mwenza wake aongeze bidii katika kutafuta fedha, mwanamke anatumia nguvu nyingi sana kumbadilisha mwanaume wake tabia nyuma ya pazia anakuwa na hofu ya kuachwa mpweke,anakuwa na hofu ya kulea watoto pekeake.

Baadhi ya wanawake huwa wakali kupitiliza ndani ya familia sio kwa sababu anakuwa anamchuki mwanaume bali kwa sababu anakuwa na hofu ya kuachwa mpweke pamoja na kulea watoto pekeake.

KWANINI WANAWAKE WENYE NIA YA KUJENGA FAMILIA HUWA WANATELEKEZWA NA WATOTO BAADA YA MWANAUME KUSIMAMA VIZURI KIUCHUMI
Tuangalie vyanzo hapa chini.
1.KULAZIMISHA MAHUSIANO/NDOA
Wanawake ambao huwa wanatelekezwa na watoto au ujauzito mara nyingi huwa hawajui sifa nzuri za mwanaume wa kujenga naye familia.

kwa asili mwanamke akijua anapendwa sana kuliko mtu yeyote huanza kuonyesha dharau waziwazi, kumjibu mwanaume vibaya, kumfokea, kumtukana, kumkashifu, kumkaripia,kuwa na visingizio vingi kumkwepa mwanaume .

Kwa kawaida mwanaume Rijali huwa hapendi drama wala kuvutana vutana na Mwanamke hivyo akiona mwanamke haeleweki anamuacha.

hapa inatokea hivi.Wanawake wengi huwa wakiona mwanaume ni kauzu,hana ushirikiano wowote,hana hisia zozote kwake hapo Mwanamke huanza kutilia shaka muonekano wake na tabia zake.

Hivyo huanza kujitutumua ili aonekane ni "wife material" kutokana na hali hiyo mwanaume ambaye ni "player boy" au "bad boy" ambaye anataka kufanya mapenzi tu kisha anatokomea kusikojulikana huwa anatumia fursa hiyo kumkosoa,kumtoa dosari za muonekano,kumfanya ajione hana akili,kumfanya ajione hawezi kupendwa na mtu yeyote.

Hapo ndipo Mwanamke huingia kwenye mtego,akiona anavunjiwa heshima mara kwa mara anaamini akiwa mvumilivu sana anaweza kumbadilisha mwanaume wake tabia.

Hivyo anaweza kutegesha ujauzito kwa kumlazimisha mwanaume,au anaweza kumlazimisha mwanaume amtambulishe kwa mama mkwe,wengine hufika mbali mpaka wanachukua namba za simu za mama mkwe na kujitambulisha wao wenyewe,wanawake wengine hufika mbali wanajitolea mahari wao wenyewe,wengine huenda mpaka kwa waganga ili kulazimisha ndoa.

Sasa kwa Mwanamke anakuwa ametumia nguvu nyingi sana kumpata mwanaume inakuwa rahisi kwa mwanaume kuamini kwamba "Huyu hawezi kuniacha wala hawezi kuishi bila mimi"

Hapo mwanaume anaanza kuonyesha dharau waziwazi, atamsaliti mara kwa mara,atakuwa anamwambia "hauna akili" mara kwa mara,atakua anasema "hauna hadhi ya kuwa na mimi",atakua anasema "unanuka sehemu za siri sitaki unisogelee" kwa muda mrefu mwanamke anaanza kujichukia sana na kujiona mkosaji,kujiona takataka,kujiona kituko.

Baada ya hapo akipewa ujauzito mwanaume anatokomea kusikojulikana hatoi huduma zozote,anasubiri mtoto akiwa mkubwa aende kuomba msamaha akidai shetani alimpitia.

kwa sababu mwanamke alikuwa anampenda sana na akifanya uwekezaji mkubwa sana inakuwa rahisi kurudiana naye hata kama Mwanamke kwa wakati huohuo atakuwa na mwanaume mpole, mstaarabu, muaminifu, muadilifu,mwenye huruma na kujali.

Ni kwa sababu pale ambapo unapitia manyanyaso kwa mwenza wako kwa muda mrefu unakuwa na hisia kali sana kwa mwenza wako kuliko kwa mtu yeyote.

Vilevile unapokuwa na maumivu makali sana moyoni haiwezekani kumthamini mtu mwema kwa sababu unakuwa hauna uwezo wa kuona kama unastahili kupendwa na mtu mwema bali unakuwa unajiona laana,unajiona kituko hivyo ni rahisi kuvutiwa na wanyanyasaji kuliko Watu wema kwa sababu unakuwa haujazoea kuishi na Watu wema.

2.KUTAKA KUMBADILISHA MWANAUME TABIA
Hapa huwa mtego mwingine wanawake wenye tabia njema na nia ya kujenga familia huwa wanajichanganya.
Kwa kawaida wanawake huwa wanapenda kuwasema vibaya wanaume kwa kudai wanaume ni wasaliti, wanyanyasaji, wakatili,hawana huruma n.k

Hivyo kwa wanawake wengi njia ya kudumu na mwanaume ni kumzuia mwanaume asifanye usaliti,asiwe na hasira,asiwe na mawazo ya Mwanamke mwengine,asiwe na chuki wala kinyongo.

hapo Mwanamke huanza kutumia nguvu nyingi sana - akiona mwanaume yupo na tabia za ubabe, ukali kupitiliza, kiburi , majivuno, jeuri,mwanaume anagubu, kisirani,anapenda kususa,anapenda kununa,anapenda starehe sana.

mwanaume ni mlevi kupindukia, mcheza kamari, mhalifu, mwizi, msaliti sugu, anabadili wanawake mara kwa mara,mwanaume hana kazi yoyote wala biashara yoyote,mwanaume akipewa mtaji anakula, akitafutiwa kazi anatafuta kisingizio cha kuacha kazi, kutwa kucha anashinda kijiweni kupiga stori na akirudi nyumbani anauliza chakula.

Sasa hapo ndipo Mwanamke anaingia mtegoni atakuwa anapambana na michepuko, kumtafutia kazi, kumnunulia zawadi za gharama,kumchukulia mkopo, atamjengea,atampa mtaji,atasaidia ndugu wa mwanaume kila siku,

baada ya siku kadhaa Mwanamke anajikuta yupo na ujauzito lakini mwanaume hatoi huduma zozote,mwanaume anakuwa busy sana na wanawake tofautitofauti.

Hapo ndipo Mwanamke huanza kulea watoto yeye mwenyewe,atajenga kwa fedha zake,atamuuguza mwanaume mara kwa mara,atavumilia vipigo, matusi, kugombezwa, kukaripiwa, kutolewa dosari za muonekano, kunyimwa unyumba au kuingiliwa kinguvu mara kwa mara.

Ataamini kwamba akiongeza bidii ataweza kumbadilisha mwanaume wake tabia lakini inakuwa kinyume chake.

mbali na mwanaume kuonekana na tabia hizo anakuwa na tabia zingine kama kununa, kutishia muachane, kususa, kuonyesha uso wa hasira mara kwa mara,atakuwa na malalamiko mara kwa mara,mwanaume anakuwa na wivu uliopitiliza,mwanaume anakuwa na chuki mno,mwanaume mara kwa mara anakuwa na tabia ya kumdhalilisha mwenza wake lakini Mwanamke anaamini kwamba huyo mwanaume atakuja kubadilika.

MWANAMKE anatukanwa, kugombezwa, kukaripiwa, kutolewa dosari za muonekano, kufukuzwa nyumbani usiku wa manane,kupigwa vijembe na mama mkwe pamoja na mawifi lakini mwanaume anakaa kimya haongei chochote.

Baada ya mwanaume kusimama vizuri kiuchumi japokuwa uchumi wote kwa 80% amepambana mwanamke hapo ndugu wa mwanaume huamua kushirikiana na mwanaume kumfukuza Mwanamke hiyo anaondoka mikono mitupu.
anaondoka na watoto bila huduma zozote,au mwanaume anaweza kumtelekeza na watoto hapohapo nyumbani bila huduma zozote.

na wakati mwengine mwanaume anaweza kuchukua mkopo kwa kuiweka nyumba dhamana kisha anatokomea kusikojulikana anajua nyumba itauzwa na benki kisha mwanaamke ataishi kwa dhiki.

UFUMBUZI WAKE

Ikiwa wewe ni mwanamke badala ya kutaka kumbadilisha mwanaume tabia jiulize sifa za baba bora kwa watoto zipoje ?
Kwanini unataka kumbadilisha mwanaume tabia? je wewe ni mama yake ?

kamwe hauwezi kulindwa wala kupata utetezi na mwanaume ambaye wewe ndiyo umepambana kumbadilisha tabia kwa sababu wengi wanakuwa na chuki, kinyongo,wivu,hisia za kisasi na wengi huwa wanahofia kuachwa mpweke,hivyo silaha yake kubwa na kumfukuza Mwanamke mapema kabla yeye hajaachwa.
Mwanaume mwenye gubu, kisirani, chuki, kinyongo,wivu,mwanaume mwenye kuongea sana kitu kidogo anaongea masaa mawili,mwanaume ambaye anakuchafua kila siku,mwanaume ambaye anakudhalilisha hafai kuendelea kuwa mwenza wako.

Utajifinza hili baada ya mwanaume wako kusimama vizuri kiuchumi ndipo utajua kwanini mwanaume ndiye anatakiwa kuwa na hamasa ya kutafuta ili kuhudumia familia badala ya Mwanamke.

Kamwe Haiwezekani kwa mwanamke mwenye uwezo mkubwa sana wa kiakili katika utafutaji apate mwanaume ambaye anajielewa hasa pale ambapo Mwanamke anakuwa anataka kumrekebisha tabia mwanaume.

Acha mwanaume awe kichwa tangu mwanzoni mwa mahusiano uone akili yake ikoje .Ila ukianza wewe kutaka kumbadilisha tabia atakuonyesha yeye ni nani akiwa na uchumi mkubwa.
 
Kwa asili mwanamke akijua anapendwa sana kuliko mtu yeyote huanza kuonyesha dharau waziwazi, kumjibu mwanaume vibaya, kumfokea, kumtukana, kumkashifu, kumkaripia,kuwa na visingizio vingi kumkwepa mwanaume .

Kwa kawaida mwanaume Rijali huwa hapendi drama wala kuvutana vutana na Mwanamke hivyo akiona mwanamke haeleweki anamuacha.
 
Fanya Tafiti vizuri mkuu,wanawake wengi wakifanikiwa wanawaza kuondoka kwenye mahusiano yao ya awali..
Utaona hata kwenye coments kwa hii thread .
Mkuu wanawake wengi wa mtandaoni kwa asilimia kubwa bado hawana mahusiano ya kudumu.

Ipo hivyo mwanamke akiwa na kipato kumshinda mwanaume huwa anaonyesha dharau za wazi.
 
Sipingani nawewe kitu kingine ni kuwa mwanamke akishajiona yeye ni much know sana yaani bila yeye kwa akili yake anaona usingefika hapo tena huenda mbali zaidi hata kukutamkia maneno haya "Nilikukuta huna mbele wala nyuma" Sasa mwanamke wa hivyo lazima ataachwa tu
 
Uzi ufungwe tujadili mambo mengine
1736598306425.jpg
 
Wanarogwa
 
Sipingani nawewe kitu kingine ni kuwa mwanamke akishajiona yeye ni much know sana yaani bila yeye kwa akili yake anaona usingefika hapo tena huenda mbali zaidi hata kukutamkia maneno haya "Nilikukuta huna mbele wala nyuma" Sasa mwanamke wa hivyo lazima ataachwa tu
Hiiii Ng'wanangwa hii dharau sitotaka initokeee maisha mwangu. Kwanza siwezi kuwa na Mwanamke ambaye ni useless kabisa. Hata kama nikianzisha kampuni yangu nitamwambia achangie hisa asilimia 20 au 30, kama atakuwa hana mchango wowote nitampa asilimia 10 tu. Tena hii kwa lengo la yeye awepo tu kama partner kwenye memorandum
 
Yeah sasa wakiendelea kuwa nao sisi tusiokuwa na pesa atatusapoti nani? Wanawake wa kaliba hiyo wapo wachache kwahiyo inafaa inafaa tube kama yanga yaani unagusa, akikusapoti ukapata hela unaachia aje kwetu.
Na Elewa kwamba mwanamke anayekupa sapoti sana financially kuna tukio lilimkuta
 
Wanarogwa
Wnaarogwa na nani mkuu?
Wewe realMamy Hitaji lako ni kupendwa ndio maana Mwanamke kwenye ndoa au mahusiano huwa anakuwa mvumilivu wa usaliti, vipigo, matusi, kugombezwa, kukaripiwa -

Sasa Mwanamke ambaye ana kumbukumbuku mbaya ya maisha yake huwa hajui anataka nini kwenye ndoa/mahusiano
 
Back
Top Bottom