Kwanini Wanaume wanapofanikiwa kiuchumi huwatelekeza wenza wao ambao walianzia maisha ya dhiki

Sijasoma yote lakini tatizo ni kwamba mwanamume maskini haoi mke wa ndoto yake. Wa ndoto yake wanamkataa kwa kuwa ni maskini. Akizipata anaanza kutafuta wa ndoto zake. Ni bora kuchelewa kuoa ili upate mwanamke mrembo haswa ambaye unaweza kutangulizana naye barabarani kwa fahari na kumtambulisha kwa watu kwamba "this is her."
 
Wazungu wamekuja kutuharibia sana mkuu. Hii mali inayoitwa "Mali tulizochuma pamoja" itanifanya niende gerezani asee saivi nipo kazini hadi kesho asubuhi napambna usiku na mchana yeye kalala.

Halafu badae aje aseme tulichuma mali pamoja.Kwa kifupi wazungu wameharibu sana mwanmke hana haki sawa hata dk1 yeye ni wachini siku zote dini na imani zote hili liko wazi.

Mbaya zaidi hela yake ni yake tu akikupa kakukopesha...Tena mkuu akichangia hata kama ni 3% tu ndg zake wote watajua kuwa unaona huu mradi/company kuna hela yangu nyingi tu nimechangia ndio maana mnaona imefika hapo.Nihitimishe kwa kusema ukiruhusu achangie kazi unayo
 
Mwanaume akifanikiwq kimaisha anatamani kujenga familia. Mwanamke akifanikiwa anatamani kuwa huru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…