Wanawake wasomi wanatembea na book of rules kwenye ndoa.
matatizo makubwa ya wanawake waliosoma yanayowafanya wanaume wawachukie na wasitake hata kuwaowa mengi kati yake ni haya yafuatayo
1. hawapendi kuzaa watoto zaidi ya wawili(2) bila wao kujua watoto ndio sifa na heshima ya mwanaume yeyote katika jamii
2. wana tabia fulani ya ubishi, mpaka wakalipiwe ndipo wanashituka na kuanza kulalamika kuwa kwann asingeambiwa kwa upole kwani asingeelewa
3.wana kiburi, baadhi yao, wanachukua muda mrefu kutii na kufuata yale wanayoelekezwa na waume zao bila kujali kuwa pasipo utii mwanaume hawezi kumpenda mwanamke kwa jinsi yoyote ile. Mwanaume ni mtawala sawa na Serikali, usipoitii serikali katika mema itatumia hata FFU/JESHI/POLISI/MAHAKAMA KUKUFANYA KUTII, wanaume wanatumia vipigo, lakini wasioweza na wasio na tabia za kupigana/kupiga wake zao wanaona suluhisho kutowaowa wanawake wasio watii ikijumuisha waliosoma
4. wanawake waliosoma wana tabia za kuwanyima waume zao tendo la ndoa(kujamiana) kwa sababu za kijinga au kuwapa tendo la ndoa pale tu wanapotaka
wanawake waliosoma wana sababu nyingi za kijinga ikiwemo kuchoka hasa inapokuja wakati wa kufanya tendo la ndoa, sasa wanaume wanachukizwa sana na tabia za kunyimwa haki yao ya tendo la ndoa, na ndio maana wengine kuepusha shari wanaamua kutokuwaoa. jiulize kama unamnyima mume wako tendo la ndoa kwann ulikubali kuolewa aye, ulidhani umeolewa kwa ajili ya kwenda kumfulia nguo au kumpikia? kama wanawake mnafikiri mliolewa kuwapikia au kuwafulia wanaume nguo mmekosea sana, ndio maana waume zenu wanatoka nje ya ndoa na ombeni wasiangukie miguuni mwa wanawake wa Tanga/wapare/wahaya/wanyakyusa kwani watahamisha nguo moja baada ya nyinigine hadi chupi zitachukuliwa.
5. baadhi ya wanawake waliosoma wagumu kutoa pesa zao kuchangia maendeleo ya familia. unakuta kila hela anayopokea hata kama ana mshahara mkubwa kuliko mume wake unakuta hayuko tayari kuchangia maendeleo ya familia. kila asubuhi atadai hela ya matumizi yake na ya nyumbani, ataomba hela ya kununua nguo zake yeye akipata fedha yake anajua anakoipeleka, sasa mwanaume anayetumia akili ya kawaida atajiuliza kwann aoe mwanamke ambaye ni mchoyo na asiye changia maendeleo ya familia? Mwanaume anakuwa anamuona ni mzigo usiobebeka, sasa kwanin ubebe mzigo ambao haulazimishwi kuubeba.
suluhisho kwa mwanaume inakuwa kutomuoa
6. kushindana na waume zao
wanawake waliosoma wakati mwingine wanakuwa na tabia ya kutafuta kushindana na waume zao kwa mambo yasiyo sawa. unakuta anaelekezwa kuwa jambo fulani mume wake halipendi lkn unakuta yy anangángánia, sasa mtu akimjua hivyo katika hatua za awali kabla ya kumuoa anaamua kuacha kumuoa hata kama alishatoa mahali, anasamehe hata mahali. Mm naandika haya nikiwa na ushahidi wa kutosha, mtu wangu wa karibu alimwacha mke wake mtarajiwa ambaye tayari alishamtolea na mahali kwasababu kama hii, kutokana na kutokuwa msikivu na mbishi alingia katika ugomvi usio maana na kukutwa katika mazingira tatanishi wakati alishamwonya
wanaume nawashauri tuwe wawazi katika hili ili wanawake waliosoma wajue ukweli ili wale wenye akilii wabadilike na kufuta fikra potofu walizonazo vichwani mwao na kusaidika
Wanaume tuliosoma tunataka sana kuoa wanawake waliosoma kwasababu ufahamu wao unaweza kuwawezesha kulea vizuri watoto na kusimamia masuala mengi ya kimaendeleo katika familia tofauti na wanawake ambao hawajasoma